Bosi anamkosesha raha

Bosi anamkosesha raha

Hapo kuna jibu.na mjiangalie wanaume wanzangu asije akawa mke wa mtu humu tena anachangia sana humu
 
Hapo cha kufanya kwa huyo prof ni swala moja ,kuna virus ambayo anakula files nakubakisha zile ambazo ni za aina yake kama ni the same donor. Sasa chakufanya wacheki kama prof iyo memory yake ni NTFS au ni FAT sasa waformat kwakutumia command prompt ili ku force hyo jina ya huyo shost ako liondoke kwenye memory ya prof maana bila hvyo ,kichwa kinakuwa kizito na anashindwa kufanya mambo mengine ndio maana kutwa anashinda anaandika tu jina hilo. Na mkicheza hapo ubongo uki corrupt ndio ile mambo ya Paralyse inakuja kutokea
 
Asante sana hii ni zinga la somo.
 
Kuna zaidi ya ulichoelezea, muulize rafiki yako kwa macho makavu atakwambia tu. Vinginevyo yamemfika shingoni kwa ushirikina wake ila baada ya kudunda akayamwaga kwako umpe poozo la mtima!
 
Mmmmm mbaya hiyo,boss wangu alikosea kumuita jina mkewe akamuita jina langu kimakosa mbona mke alikuja kunitafuta
kazini eti nimweleze why mumewe kaniita jina langu,alinitukana mpaka alipo maliza akaondoka,sikumjibu manake mumewe nilikua namuheshimu sana na pia nilikua nakwenda kusoma sasa sikutaka kisirani cha kitu kizima, so mwambie shosti wako wala asijitie BP hutokea...
hmmm,yaani alikosea tu,huenda alikuwa anakufikiria sana.
 
Unahisi nini kimbaya au kizuri kinaweza kutokea kwa shosti yako kwa kuwa boss wake kakariri middle name ya rafiki yako?.

Nauliza Tu

Si hisi chochote lakini maajabu hili jina hata mume wake halitumii ni jina la bibi yake alipewa akiwa mdogo kwa kifupi ni wazazi wake ndiyo wanalitumia sana.
 
Mmmmm mbaya hiyo,boss wangu alikosea kumuita jina mkewe akamuita jina langu kimakosa mbona mke alikuja kunitafuta
kazini eti nimweleze why mumewe kaniita jina langu,alinitukana mpaka alipo maliza akaondoka,sikumjibu manake mumewe nilikua namuheshimu sana na pia nilikua nakwenda kusoma sasa sikutaka kisirani cha kitu kizima, so mwambie shosti wako wala asijitie BP hutokea...
Kumbe huko makazini huwa mnadrive waume za watu crazy!!!
 
Si hisi chochote lakini maajabu hili jina hata mume wake halitumii ni jina la bibi yake alipewa akiwa mdogo kwa kifupi ni wazazi wake ndiyo wanalitumia sana.
Bhasi si mbaya boss wake kakariri hilo jina alilopewa na waziza wake

Kwema lakini Sky Eclat
 
Mpe pole shosti yako. It happens. Ila nafikiri inawezekana kuna mambo shosti yako inabidi afunguke kwako. Inabidi akungo'oneze hata kama ni wewe tu....I guess there is something fishy...ha ha ha. Just thinking kwa sauti!
 
hii imenikumbusha jamaa mmoja alikuwa banker nmb home huko.
kapata mdada mmoja bhana si akampiga limbwata!! dozi ilikolezwa mpaka jamaa akadata, akiingia kazini kwenye slip za wateja anaandika jina la yule mwanamke mwanzo mwisho.
maza akambana yule dada akakiri kufanya ulozi kwa jamaa na kazini akawa katolewa.
mpaka leo wanaishi kwa shida tu. inatia huruma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom