Kila kitu anaripoti kwa Mchungaji

Kila kitu anaripoti kwa Mchungaji

Nikimkosea badala aniambie nijirekebishe, yeye anaenda kumwambia Mchungaji. Nimejaribu kumsihi asifanye hivyo, yeye anasisitiza hana cha kuongea na mtenda dhamb ila kila kitu atamweleza baba yake wa kiroho.
Mwachie mchungaji wewe oa mwingine
 
Mkuu umetunyima uhondo. Je mchungaji amekuita mara ngapi? Umemjibuje kwa habari ya siku ile ulishindwa kule 6 x 6 akaenda kumwambia mchungaji wake (wenu)?
 
Nikimkosea badala aniambie nijirekebishe, yeye anaenda kumwambia Mchungaji. Nimejaribu kumsihi asifanye hivyo, yeye anasisitiza hana cha kuongea na mtenda dhamb ila kila kitu atamweleza baba yake wa kiroho.
Ndoa ndo apo inaboaga ss[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
sasa na wewe kwanini ulikwenda kuoa demu wa mchungaji?!
 
Wife wako mbona hajakomaa huyo,anatoaje mambo ya familia nje badala ya kuongea kwanza kama wanandoa??...ashankera kwanza

[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
 
Nikimkosea badala aniambie nijirekebishe, yeye anaenda kumwambia Mchungaji. Nimejaribu kumsihi asifanye hivyo, yeye anasisitiza hana cha kuongea na mtenda dhamb ila kila kitu atamweleza baba yake wa kiroho.
Aiseeee! Mkuu una wakati mgumu sana.
 
Nyie ni waumin wa makanisa haya ya kidijitali?
 
Eti siongei na wenye dhambi.....imagine hayo maneno angesema Yesu kwa watoza ushuru. Dah haya makanisa ya sikuhizi sijui yanafundisha nini
 
Back
Top Bottom