Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nimekuwa mtumwa wa wanawake

........tulipomaliza wakati tunatoka kuna jitu la miraba minne lilikuwa likituangalia sana na yule msichana akashtuka sana.Baadae nilipomuuliza akasema yule jamaa anafanya kazi na mume wake ni FFU kitengo cha doria.
Hapa huna jinsi. Jilazimishe kuacha tu manake kuna jambo zito linakunyemelea.
 
Mkuu jambo hilo limenifikirisha sana na nawaza iwapo yule jamaa angemtonya rafiki yake wakati sisi tupo chumbani ingekuwaje, na yule dada hakuniambia kama kaolewa hapo kabla.
 
Salaam ndugu zangu,

Nimeficha ficha haya mambo ila najiona kabisa naangamia hivyo ni bora leo niombe ushauri maana hapa pana watu wazima, wanasaikolojia na viongozi wa dini.

Mkasa wangu ni wa hakika na bado nipo katika mateso hata sasa.

Wakati nipo balehe nilikutana na wasichana mbali mbali waliouteka moyo wangu na nikawaeleza hisia zangu, kwa bahati mbaya nilijibiwa karaha na kutoswa sababu ya maisha yangu ya dhiki.
Hali ilikwenda hivyo kwa muda mrefu mpaka moyo wangu ukajenga chuki na wanawake, niliwaona hawana usawa na sio wa kuwa nao karibu.

Katika utafutaji wangu wa maisha ghafla mambo yakabadilika na nikawa nina pesa na kuishi vizuri na nikaanza kujenga nyumba na pia nikawa na miradi pamoja na gari ya kutembelea.

Ni hapo ndipo wasichana wakaanza kuwa karibu na mimi na kunihitaji kimapenzi, na mimi nilishajenga chuki moyoni na nikapanga kuwakomoa, nikajikuta natembea na wanawake wengi tofauti kuanzia wanafunzi, walimu, wasichana tu wa mtaani, machangudoa na wapenzi wa watu.

Nikajikuta dhaifu mbele ya wanawake yaani siwezi kulala hata siku moja peke yangu bila mwanamke na pia mda mwingine nilifanya mapenzi na wasichana wawili tofauti kwa siku moja, haswa kama huyo wa pili aliyenitafuta ni mzuri sana.

Haya mambo sipangi bali najikuta tu inatokea na kila nikimaliza najuta na kusema ndio mara ya mwisho ila punde tu naingia katika vishawishi tena, nilioa mke safi kabisa ili niepuke hali hii ila tuliachana baada ya kunifumania mara kadhaa.

Sasa nina mke mwengine na safari hii nimeoa mke wa ndoto yangu mtoto mzuri sana shombe shombe kiasi kwamba marafiki wanasema kweli mwamba umepata kifaa.

Ila bado ninajikuta natembea na rafiki zake pia wasichana wa mtandaoni kama vile Jf, Badoo, Fb nk na pia nimekuwa maarufu madanguro mengi sana mpaka naona noma.

Mara kadhaa nasafirisha mademu wakali toka mikoa tofauti na kunifuata mimi, sihongi sana na wala sijatetereka ki uchumi na wala sijaathirika ila tu najiuliza nini kipo nyuma ya nguvu hii inayonishinda kujizuia?

Kilichonifanya nijione naingia katika hatari ni kwamba, juzi kushinda jana nilikwenda guest na msichana fulani nilikutana nae juu juu tu, tukafanya mapenzi na tulipomaliza wakati tunatoka kuna jitu la miraba minne lilikuwa likituangalia sana na yule msichana akashtuka sana.

Baadae nilipomuuliza akasema yule jamaa anafanya kazi na mume wake ni FFU kitengo cha doria.

Hakika nikaona hiki ni kifo cha wazi sasa na nimefikia pabaya, haya mambo sipangi ila imekuwa kama ulevi na siwezi kuacha.

Naombeni ushauri wa kunijenga wadau

mkuu onana na mwanasaikologia mwenye uzoefu, ukishindwa hapo okoka maana wachungaji wwengi ukiwaambia tatizo wanajua saikologia naamini utapata tiba sahihi, kubari kushaurika/fungua moyo
 
Akhsante mkuu kwa ushauri, yaani nikimuona msichana tu nimeshamvua nguo kifikra na najikuta nimeshaingia katika mahusiano kama nimefungwa pingu.
Nimeshakula mzigo watoto wa dada zangu kabisa (sio wadogo ni wasichana na shughuli zao).

Majuzi hapa kuna dada ninaemfahamu nilimuomba mzigo akaniambia yeye hayupo tayari maana ananiheshimu sana rabda aniunganishie rafiki yake.

Muda si muda akampanga rafiki yake akaja kumbe ni kisu kweli kweli, nikaunganishwa nae na nikaenda kufanya nae siku hiyo hiyo, ile namaliza tu kumbe kuna msichana wa rafiki yangu nilipanga nae siku hiyo tukafanye mambo akanipigia na kuniambia ndio anatoka.

Nikajikuta namjibu sawa, nikaenda na kupiga mzigo kwa kuwa huyu ni msichana wa kiwango cha juu sana na ningeremba ingekuwa ndio basi tena.

Nilipomaliza pale nafika home nakutana na rafiki wa wife amekuja nyumbani kututembelea, nilishawahi kuwa nae ila nikampotezea maana ni mtu anaependa mapenzi sana karibu kila siku mbili ananitafuta na mimi mwenzake ni mtu wa mambo mengi, alipoondoka akani sms kuwa yupo mtaa wa pili nimfuate.

Ni huyu aliyekuwa akinihimiza kuwa katika usafiri wangu niweke tinted nyeusi zaidi ndio awe anapanda, nilivyokwenda akapanda akasema alikuja sababu yangu hivyo anataka haki yake, nikamzuga nina malaria hivyo akaishia kuramba koni tu na kuondoka.

Sasa najiuliza nahangaishwa na nini? Kama ni hulka mbona nikimaliza najuta? Mbona namdhalilisha mke wangu hivi jamani? Yaani natamani nilie

Pamoja na maovu yangu ila nikirudi nyumbani wife ananikaribisha kwa tabasamu pana na lenye upendo
 
Mkuu pole sana kwakuwa unania ya kuacha najua utaacha tu ukiamua
Ila kwa uzoefu wako mm nina 27ages na idadi ya nilio tembea nao ni 15 mpaka sasa unavyosoma hii comment na nakuwa na hulka ya kutaman sana wadada nikimpata tu ile ham inaisha nataman tena mwngne nikimwona akiwa mzur vip na ww ulianza hivo? Na kwamwenendo na speed hii naeza kufika huko
Ila uzur naweza kujicontrol nisifanye hata miez ming tu
 
Akhsante mkuu kwa ushauri, yaani nikimuona msichana tu nimeshamvua nguo kifikra na najikuta nimeshaingia katika mahusiano kama nimefungwa pingu.
Nimeshakula mzigo watoto wa dada zangu kabisa (sio wadogo ni wasichana na shughuli zao).

Majuzi hapa kuna dada ninaemfahamu nilimuomba mzigo akaniambia yeye hayupo tayari maana ananiheshimu sana rabda aniunganishie rafiki yake.

Muda si muda akampanga rafiki yake akaja kumbe ni kisu kweli kweli, nikaunganishwa nae na nikaenda kufanya nae siku hiyo hiyo, ile namaliza tu kumbe kuna msichana wa rafiki yangu nilipanga nae siku hiyo tukafanye mambo akanipigia na kuniambia ndio anatoka.

Nikajikuta namjibu sawa, nikaenda na kupiga mzigo kwa kuwa huyu ni msichana wa kiwango cha juu sana na ningeremba ingekuwa ndio basi tena.

Nilipomaliza pale nafika home nakutana na rafiki wa wife amekuja nyumbani kututembelea, nilishawahi kuwa nae ila nikampotezea maana ni mtu anaependa mapenzi sana karibu kila siku mbili ananitafuta na mimi mwenzake ni mtu wa mambo mengi, alipoondoka akani sms kuwa yupo mtaa wa pili nimfuate.

Ni huyu aliyekuwa akinihimiza kuwa katika usafiri wangu niweke tinted nyeusi zaidi ndio awe anapanda, nilivyokwenda akapanda akasema alikuja sababu yangu hivyo anataka haki yake, nikamzuga nina malaria hivyo akaishia kuramba koni tu na kuondoka.

Sasa najiuliza nahangaishwa na nini? Kama ni hulka mbona nikimaliza najuta? Mbona namdhalilisha mke wangu hivi jamani? Yaani natamani nilie

Pamoja na maovu yangu ila nikirudi nyumbani wife ananikaribisha kwa tabasamu pana na lenye upendo

mkuu, tatizo lako sio kubwa kama unavyotaka kulikuza, wawezapona ndani ya miez6-8 ukipata njia sahihi kabisa.

njiaa rahis kwa nchi zetu ni kuokoka, maana huko utakutana na saikolojiko treatment kwa muda mfupi heshima kwa wanawake itarudi na utakua binadamu wa kawaida.

kama kipato chako ni kizur ajir mwanasaikologia mzuri akupe njia sahihi ya kutoka hapo ulipo.

tatizo lako linatibika rahisi kuliko addiction ya madawa ya kulevya, kunavitu vichache sana vinatakiwa kulekebishwa katika fikira zako.

pia kuna nja asilia ya kujitibu mwennyewe japokuwa yaitaji despline sana kwa kuanza kuchukulia wanawake wote kama mama ako mzazi, aoutomatic utakuwa na haya ya kuwaomba mchezo, pia jaribu kuwa bize na kazi, mwsho ya yote tafuta marafiki wa kiume wapya kabisa achana na ulio wazoea(nashauri wawewamekuzidi umri) tumia muda wako wa ziadaa kubadilisha nao mawazo. punguza utani, mazoea na wanawake wake mipaka ya wazi hata wao wakujue kuwa hutaki mambo flani.

epuka kukaa maeneo ya maficho ficho ukiwa pekee yako, penda kuwai kurudi nyumbani na shiriki mambo mbalimbal na mkeo au familia.

kama hutaacha basi utapunguza sana na kuwa kama wanaume wengine
 
Akhsante mkuu kwa ushauri mzito juu yangu, tangu nilete uzi huu na kuanza kupokea ushauri sijakutana na mwanamke yeyote kimwili nazidi kupokea njia mbali mbali za ushauri na naamini nitapiga hatua nzuri
 
Mkuu huna mwanamke uliyezaa nae ukamtelekeza? Sije ikawa ni laana yake
 
Mrejesho mkuu, umeamua kuchukua hatua gani, na lipi unaona litakusaidia na je umeacha kweli uzinzi ama ulikuwa unatuzingua tu...
 
Ngoja nifanyie kazi ushauri ila nakwenda vizuri japokuwa ni vigumu kuleta mrejesho kwa sasa, nipe muda kidogo mkuu nione maendeleo kulingana na hatua mbali mbali ninazofuata
 
Ni Yesu tu mkuu, anayeweza kukutoa huko, Hata mimi nilikuwa kama wewe, ila baada ya kulikili jina la Yesu kwamba ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu... Kila kitu kimebadilika katika maisha yangu.
 
Mficha sukari, nashukuru sana kwa ushauri wako maana ninapoelekea siko
 
Akhsante mkuu kwa ushauri, yaani nikimuona msichana tu nimeshamvua nguo kifikra na najikuta nimeshaingia katika mahusiano kama nimefungwa pingu.
Nimeshakula mzigo watoto wa dada zangu kabisa (sio wadogo ni wasichana na shughuli zao).

Majuzi hapa kuna dada ninaemfahamu nilimuomba mzigo akaniambia yeye hayupo tayari maana ananiheshimu sana rabda aniunganishie rafiki yake.

Muda si muda akampanga rafiki yake akaja kumbe ni kisu kweli kweli, nikaunganishwa nae na nikaenda kufanya nae siku hiyo hiyo, ile namaliza tu kumbe kuna msichana wa rafiki yangu nilipanga nae siku hiyo tukafanye mambo akanipigia na kuniambia ndio anatoka.

Nikajikuta namjibu sawa, nikaenda na kupiga mzigo kwa kuwa huyu ni msichana wa kiwango cha juu sana na ningeremba ingekuwa ndio basi tena.

Nilipomaliza pale nafika home nakutana na rafiki wa wife amekuja nyumbani kututembelea, nilishawahi kuwa nae ila nikampotezea maana ni mtu anaependa mapenzi sana karibu kila siku mbili ananitafuta na mimi mwenzake ni mtu wa mambo mengi, alipoondoka akani sms kuwa yupo mtaa wa pili nimfuate.

Ni huyu aliyekuwa akinihimiza kuwa katika usafiri wangu niweke tinted nyeusi zaidi ndio awe anapanda, nilivyokwenda akapanda akasema alikuja sababu yangu hivyo anataka haki yake, nikamzuga nina malaria hivyo akaishia kuramba koni tu na kuondoka.

Sasa najiuliza nahangaishwa na nini? Kama ni hulka mbona nikimaliza najuta? Mbona namdhalilisha mke wangu hivi jamani? Yaani natamani nilie

Pamoja na maovu yangu ila nikirudi nyumbani wife ananikaribisha kwa tabasamu pana na lenye upendo
Mh! Vipi mazoezi unafanya mzee? Fanya mazoezi kuepuka tamaa za kimwili
 
Back
Top Bottom