Recent content by mfanyaji

  1. mfanyaji

    Mmiliki wa home shopping center aliyemwagiwa tindikali apelekwa afrika kusini kwa matibabu zaidi...!

    Kama niamini kama siamini maana hata hiyo august tano hatujafika,but vyovyote vile kujichululia hatua kama hivi si vizuri kwa muhusika na kama yeye kweli alifanya hivyo kwa shemeji yake pia si vizuri,unyama gani huu wanafnyiana,na yeye ange mchukulia dada yake tu yaishe.
  2. mfanyaji

    Mmiliki wa home shopping center aliyemwagiwa tindikali apelekwa afrika kusini kwa matibabu zaidi...!

    Hii nchi siku hizi hata sio yaamani tena,hivi wanaofanya hivi wanalala kabisa na kupata amani?mi nina roho ngumu kwenye totoz tu lakini siwezi kudhuru mtu lakini demu wake naweza kumla na nisijisikie vibaya mtu akiniudhi sio huku kuumizana na kupeana vilema
  3. mfanyaji

    My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

    Huyu wife material kabisa akinikubali nachukua mazima mazima,lol.ni mzuri sana lakini kapooza.so kwenye mostsimuweki bali kwaviwango vya deu wa kuwa nae haswa kwa vitombi kama mimi huyu ndio anafaa.
  4. mfanyaji

    My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

    Nope,huyu zaidi ya rangi tu hana kingine.
  5. mfanyaji

    My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

    100% right,wema kwenye uzuri hayupo sema tu ana umaarufu na kaumbika baadhi ya sehemu but uzuri haswaa w viwango ni idara zote husikq sio nusenusu,nimewakubali wote kasoro huyo halagu ukimtoa wema hapo angewekwa Irene Uwoya,bila kuweka mapungufu yake,ni mzuri yule binti.halafu zamani kulikua na...
  6. mfanyaji

    CCM tumemshindwa Lowassa?

    Mi nataka lowassa ashinde urais,halafu cabinet yake ichnganywe na upinzqni ndio hii nchi itatengemaa,hii nchi inahitaji mtu mbabe na sio mropokaji ovyo na muuza meno.
  7. mfanyaji

    Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

    Kwenyeswala la sembenitamtetea Rais as Jk,analipinga sanaaaaaa.watu wa karibu wanajua hata hao warendaji wake,sema tu kazidiwa kete n watendaji muhimu.wauza unga hawampendi kabisa kikwete,mengine yote yase,we lakii sio huku.
  8. mfanyaji

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Watu mnazidisha chumvi jamani,kila lawama Rais?ana mapungufu yake lakini kwenye swala la unga JK mkali kuliko mnavyofikiria,we unadhani kwanini hao watu wanakimbilia nje.tatizo watendaji wake,na njaa za wafanyakazi wa sehemu husikq,mi ndio maana nasema hii nchi inahitaji ipate rais tajiri na...
  9. mfanyaji

    Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

    Pia watu unawwaalika house party or just abgathering watu wanaondoka na vyakula na vinywaji wanafanya takeawaya,si ustaarabu kabisa,pia watu wanapita home kwako kiasa kaona gari au taa imewashwa eyti anajua upo so kaamua tu kuja bila kukupihia simu au kukutaarifu na hana la muhimu...
  10. mfanyaji

    Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

    Exactly,haulizi wala nini,inabore sana
  11. mfanyaji

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    yaani wewe ni unajifanya mjuajia na hujui kwamba hujui,sio lazima kuchangia mshikaji,kaa kimya basi.umetumwa nini?
  12. mfanyaji

    Huyu ndiye Ghadafi bwana!!!!!!!

    nadhani alikuwa anajua kabisa angmwndaa mytu mwingine asingeku ana msimamo na wstrn countries wanaopenda ku control viongozi wa nchi za africa nadhani kama kweli ndoto ya united states of africa ingetimia angeachia madaraka,alikua ana nia nzuri tu na nchi yake,mbona angekua rais wetu hawa...
  13. mfanyaji

    Inamhusu kiki

    famous wanna be,nowdays wanajua hata vacations n designers.mademu wa bongo fake sana aiseee
  14. mfanyaji

    Mke wangu ananifuatilia FB

    lakini mshikaji wewe uko safi?kama uko safi wala usihofu halafu hiz facebook zitawavurugia ndoa,ya nini kuhangaika nayo mjitoe tu huko hakuna mpya zaidi ya picha na ugomvi especially kwa sie tunaoitwa vimeo mi nilijitoa long time maana kila siku nilikua natibua kesi na vishawishi huko vingi...
  15. mfanyaji

    Mgombea udiwani wa chadema iringa afanyiwa hujuma

    lakini yul mama anakubalika maana hata huyo mpinzani wake walipishana kura 4 tu katika maoni.tena hatumii hongo wala nini kama mwenzake.chadema sometimes tunajisahahu sana.mbwembwe nyingi matendo kidogo.
Back
Top Bottom