Huyu ndiye Ghadafi bwana!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye Ghadafi bwana!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oba, Oct 25, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Amazing facts ABOUT Gaddafi

  1. There is *no electricity bill* in Libya; electricity is free for all its citizens.

  2. There is *no interest on loans*, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.

  3. *Home* considered a human right in Libya – Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi’s father has died while him, his wife and his mother are still living in a tent.

  4. All newlyweds in Libya receive *$60,000 Dinar* (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.

  5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.

  6. Should Libyans want to take up *farming* career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms – all for free.

  7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to *go abroad* for it – not only free but they get US$2,300/mth accommodation and car allowance.

  8. In Libya, if a Libyan buys a *car*, the government subsidized 50% of the price.

  9. The price of *petrol* in Libya is $0.14 per liter.

  10. Libya has *no external debt* and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally.

  11. If a Libyan is unable to get *employment* after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.

  12. A portion of Libyan *oil sale* is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.

  13. A mother who *gave birth* to a child received US$5,000

  14. 40 loaves of *bread* in Libya costs $ 0.15

  15. 25% of Libyans have a *university degree*

  16. Gaddafi carried out the world’s largest *irrigation* project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sema there WAS, maana wameingia katika demokrasia na capitalism. Hongera Lybia, welcome to hell...
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  And they shamelessly killed him
   
 4. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,865
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Natamani ningezaliwa huko na kuishi huko. Panaonekana kama Paradiso ya Duniani. Hii nchi inauza madawa ya kulevya hadi wawe na pesa nyingi hivyo?
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,230
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  he did a lot
   
 6. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Kweli bora umfadhili mbuzi utamla mchuzi!!
   
 7. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Not to his compatriots it seems! Nyerere aliwahi kutuambia kuwa ni bora kuwa maskini huru kuliko kuwa tajiri mtumwa
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  kama ukoo wako au jamaa yako/rafiki yako asingekuwa mwanasiasa wa upinzani ndiyo ungeenjoy otherwise wewe na ukoo wako mgeuawa kama mbwa
   
 9. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Libya has been declared as a Muslim country effectively from 24/10/2011.
   
 10. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Japo kua alimsaidia Amin ktk vita ya Kagera(nilimchukia), naamini alijutia kosa lake na kujirudi akawa rafiki yetu.

  Naamini watayakumbuka mema yote aliyowafanyia.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,863
  Trophy Points: 280
  welcome to capitalisma Libya ...soon mtaanza kumkumbuka Gaddafi hata kama hamtataka kusema kuwa mmem miss ....uriho wa madaraka kwa watu wachache ndio umewaingiza kwenye capitalisms europe and USA now wapo free kunyonya mafuta yenu..stay tuned
   
 12. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe hata wewe umelisikia hilo jambo.
  Hivi inakuwaje?? maana gadaffi alikuwa mwislam tena mjenga misikiti hata mtoto wake raisi mtarajiwa (riz1 type) alikuwa anaitwa seif al islam. Sasa uislam gani hawa wanaousema ambao gadaffi na seif al islam walikuwa hawaujui? kama ni kuchukia marekani gadaffi alikuwa namba moja hadi wakampiga bomu kwenye miaka ya 80 kipindi ambacho hata sheik mkuu osama (rest in hell) alikuwa hajazaliwa.
  Kama kuna watu wenye uelewa naomba tufahamishane uislam hasa ni kitu gani, maana hata hapa bongo kila kukicha tunasikia uislam! uislam! uislam! mara uislam unaonewa japo raisi na wakuu wote wa serkali ni waislam, mara uislam unataka maslahi kana kwamba uislam pekee ndo wenye kuhitaji maslahi.
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kugeuka a muslim country maana yake wanaanza mambo ya sharia, hakuna wanawake kuendesha gari, wanawake kujitandia, polygamy inaruhusiwa etc. wanatumia zile sheria za iran and somalia... Khadafi alikua mwislam ila nchi ilikua ni laic, kwa maana ya kwamba it was using romano germanic laws. sasa itakua muslim laws, muslim tribunals, na hata wasio muslims they will be judged as muslims. ukidhini unapigwa mawe hadi ufe etc.
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hakika nawaambieni nabii hakubaliki katika kijiji chake 'Jesus Christ'
   
 15. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  But what about killing benzanzians and mizirantas
   
 16. D

  Dopas JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Pamoja na yote mazuri, kosa lake kubwa ni kung'ang'ania kubaki madarakani. Kama nchi ina 25% wasomi, kwanini hakumwandaa mtu wa kuchukua nafasi yake na kuendeleza mazuri aliyoanzisha? Ameyataka mwenyewe, tamaa tu ya madaraka, hakuwa na nia njema na Libya. Angeshapunzika na kufurahia matunda yake. Any way may he RIP!
   
 17. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  He was The Real Man! May His Soul rest In Eternal peace!
   
 18. mfanyaji

  mfanyaji Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nadhani alikuwa anajua kabisa angmwndaa mytu mwingine asingeku ana msimamo na wstrn countries wanaopenda ku control viongozi wa nchi za africa nadhani kama kweli ndoto ya united states of africa ingetimia angeachia madaraka,alikua ana nia nzuri tu na nchi yake,mbona angekua rais wetu hawa wengine angeshakimbia kujichimbia long time,but hakufanya hivyo n he died fighting for his country
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Sasa watakula jeuri yao ,Sharia hiyo mlangoni,hiyo haki waliyokuwa wanaitaka wataisikia tu kwenye bomba,ama kweli mfadhili mbwa atwabweka lakini si mwanadamu
   
 20. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  mbona wakuu co waelewa kwani gaddafi hizo hela alikuwa anatoa mfukoni au ni hela za serikali nyie ndio wale mkijengewa barabara mnamshukuru rais wakati ni haki yenu kama walipa kodi
   
Loading...