Wewe hujui sheria mtoa mada unazingua...hicho kifungu ulichokiweka kinaruhusu tu polisi kumpekua mtu na inatakiwa kwanza kuwe na search order..yaani nini wanatafuta kwako...kisha wakupekua na watachopata wakiweke kwenye hati yakutaifisha...yaani certificate of seizure..lakini kuingia mawasiliano...
You dont have to raise the deads at the moment!..Give thanks to God for who you are now and give thanks to your parents that have adopted you. There is nothing you can do now but atleast give a try to find the whereabouts of your biological parents and how you came to be adopted by the parents...
aisee mtoa hoja yuko sahihi....ww ndo ijipange...Yesu mwenyewe alikataa umasikini....huo mstari hausemi hivyo unasema ...heri walio masikini wa ROHO maana ufalme wa mbingu ni wao. Hivyo ni umasikini wakiroho tu yaani kummuishia Mungu na si wakimwili.....ndo maana tunahitaji baraka na baraka ndo...
utakuwa na mapepo wewe sio bure...pilipili ya shamba yakuwashia nini!?...mbona mimi mkristo nilishawahi panda gari la waislam wakaweka nyimbo za kaswida sikukereka...nilichofanya nikaweka headphone yangu kichwani nikafanya yangu...yaani wewe mwendokasi imesaidiwa na bado wataka mpangia dereva...
Acha kupotosha umma, mimi kama mwajiri kwa CV yako tu umekosa kazi kwangu...hao walokupa hawana akili, muajiriwa miaka mitatu umefanya kazi sehemu 7!? We unaona hiyo ni sifa!?...inaonesha how incompetent, disloyalty, intolerable and unsettled you are!...yaani wewe kufanya kazi miaka mitatu...
sasa kukuita kwa jinsia yako na kwa umri wako nakudhalilisha kwa lipi!?....wewe wenyewe hujui unachat na nani ila mimi nakujua kama vile wewe unavyojua alama za viganja vya mikono yako...haya ndo maajabu ya mtandao
hahaha kweli jf inaniongezea siku za kuishi...nimecheka sana hakika duniani kuna watu wanachekesha...bro pole sana....yaani kama mahari utalipa ujue umeitoa sadaka....unaweza ukalipa mahari na kwenye ndoa mgomo ukaendelea vivyo vivyo na mbunye usipewe....utachezea vipepsi na mzungu wa nne na...
yaani na wewe binti unakoleza mada wee utadhani anakulipa...kwanza wewe ni minor ie uko under 18...wajifanya mdada wee kujua yawakubwa na viwanja eeh!?...muonee huruma huyo kaka yako vijisenti vya madafu vinamsumbua atapoteza roho yake usiku wa leo.
issue is not all about condom brother...the whole issue ya mitungi na mademu is rigged and bold...ni kubwa mno maana haiishii tu kuwa umepiga mtungi ukapata demu anayefuata hela zako ukapiga mzigo basi...issue inaenda mbele...maana the moment umepiga nyama na huyo manzi ujue umeshaingia maagano...
pepo wako anayekutuma mzuri sana, watz mtaishia kufa masikini, umepata hivyo vijisenti vya madafu badala uwaze hata kusaidia yatima kama umeshindwa hata kujisaidia wewe...eti wawaza wapi ukaupate ukimwi ..duh shetan is realy working hard....kila la kheri sheikh!!
and unfortunately we are not talking about how i relate with my inlaw.....we ndo wale washamba ambao they preach what they dont act.....unamcheka nyani kwa kuwa na ngoko while you have yours as well....you cant say its awkward when people are open up and free to talk to each other on whatever...
you are such a jerk, you see you still put words into my mouth...where did i say 'tukajadili maumbile ya kaka yangu!'!? ...nimesema shemeji yangu huwa anamsifia bro katika maongezi yetu...so grow up man...as a grown up person you should have asked me to what extent am related to my inlaw then...
yaani we ndo zumbukuku, nani kasema kuwa am insterested in other men's thing!? ..grow up brother stop puting words to my mouth. I just put my view on what i believe and experience, so nilipokua naongelea wengine ni kwa mifano hai tu maana ipo..so if una kibamia stop hating bro!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.