Masikini hakai siti ya mbele habadani

Masikini hakai siti ya mbele habadani

Ukiniambia maskini hana samani nakushangaa!!!!

Nijuavyo Mimi mjinga au ******** ndio huwa hasaminiki ukiwa maskini na ukawa na hekma na busara nani atakukwepa
Mtu mwenye busara na hekima hawezi kuwa maskini. Maskini ni mtu aliyeshindwa kuyamudu mazingira yake. Hiyo busara itakujaje wakati umeshindwa kupata chakula chako wakati kila kitu kiko kawaida.
 
Heri walio maskini maana Ufalme wa Mbingu ni wao! Kajipange mkuu.

nt from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

aisee mtoa hoja yuko sahihi....ww ndo ijipange...Yesu mwenyewe alikataa umasikini....huo mstari hausemi hivyo unasema ...heri walio masikini wa ROHO maana ufalme wa mbingu ni wao. Hivyo ni umasikini wakiroho tu yaani kummuishia Mungu na si wakimwili.....ndo maana tunahitaji baraka na baraka ndo utajiri
 
Najua hakuna anayependa umaskini,hata mie siupendi ila Biblia kwa sie wakristo inasema Maskini hawataisha Duniani kwa hiyo katika kujadili hii hoja tuangalie tu tusije tukakufuru.
 
mkuu nashukuru kwa kumuelimisha, labda niongezee Yesu alisema Baba yenu wa mbinguni anao uwezo wa kuwapa kula kitu(hapa alimaanisha mali au utajiri). Hiyo inaonesha namna gani alivyopinga umaskini na pia akaongezea asiyefanya kazi na asile
 
Najua hakuna anayependa umaskini,hata mie siupendi ila Biblia kwa sie wakristo inasema Maskini hawataisha Duniani kwa hiyo katika kujadili hii hoja tuangalie tu tusije tukakufuru.
nimekusoma mkuu hakika hakuna atakaye kufuru hapa ni tunaelimishana kwa hoja mchanganyiko...worry out
 
Tatizo la watanzania wengi wanadhani kuwa na maisha bora ni lazima uwe tajiri. Hata nchi zenye maisha mazuri dunian high living standard kama za skendinevia/nordic matajir ni wachache mno ila kila mwananchi anaweza kupata malazi chakula na mavazi kwa urahis sana hayo ndio maisha bora.

Bongo sasa unakuta watu wanaiba milion 8 kwa dakika kwa miaka kumi na hakomi shame on previous regime.
Upo nje ya mada completely, ungekuwa barafu ningekuyeyusha
 
Masikini masikini nawaonea huruma.

But

Masikini ni yupi?

Kuna umasikini mwingi hata Prezda ni makini wa vitu flaniflani kama unabisha muulize Zitto Kabwe au Tundu .A. Lissu
Hata presida ni maskini? Presida wa
wapi, na ni maskini wa nini?
 
ila kweli kama Leo hii waziri mkuu anamwita daimondi ikulu Ku discus jinsi ya kukuza mziki wakat MTU kama fid q anaachwa
 
ila kweli kama Leo hii waziri mkuu anamwita daimondi ikulu Ku discus jinsi ya kukuza mziki wakat MTU kama fid q anaachwa....mawazo ya maskini HAyana nafasi kwenye jamii
 
Back
Top Bottom