Recent content by Mfa maji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Twiga albino waonekana Hifadhi ya Tarangire, Tanzania

    Aisee hawa wanyama wapo mbugani si kweli kama amewagundua. Wengine wapo hifadhi ya katavi na si twiga tu wenye hio mutation
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Dharau! Kwahiyo wadada hawswezi kununua magari yao????
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mimi nina toyota CAMI niliagiza toka Japan mwaka 2011. Binafsi niliipenda kutokana na nafasi kubwa kutoka chini au uvungu. Ulaji wa mafuta pia ni mzuri. Nikiweka full tank lt 40 natoja Dar mpaka Same ndio taa inawaka. Ulaji wake wa mafuta highway unafika lt1/km 13 barabara za mjini lt 1/km 8...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli za wanawake wasipotaka kufanya mapenzi sikupi,sina mood,sijisiki

    Na yeye ni binadamu siku nyingine hajiskii
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

    Waliosema wanaogopa kupuliama na harufu ya midomo wako sahihi kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari St Marry's Mazinde Juu- sehemu ya majengo yake!!!

    Majengo "colour coded"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nchi za nje

    Napenda watu wanaosema ukweli kuhusu maisha ya nje. I have been there so mtu akipotosha nasikitika sana.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kigamboni mwisho wa ukuta wa funny city

    Kwani fun city ipo kigamboni?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zetu mnaboa kutuonyesha miraba ya nguo zenu za ndani

    Sijui sijaelewa? Kwahiyo unatamani wanaume wenzako? Unavutiwa na mapaja na misuli yao ili ikufanyaje?
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

    Mwili wa mwanamke unaendeshwa zaidi na vichocheo/hormone ambavyo huathiri hisia "mood swing". Jaribuni kuelewa maumbile yao na muwachukulie kwa upole
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Charles Mihayo jela maisha

    Mtanzania aliyeua watoto wake ahukumiwa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wametoa mimba sasa hawana amani wanadaina mtoto "msaada"

    Kwani wewe hautakufa utaishi milele? acheni kuhukumu watu hapa duniani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Kujenga au kununua nyumba

    Kwahiyo aanze kujenga akifikisha miaka 40?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa leo

    Hii gari nilikutana nayo mahali, I think ni mbagala au mtongani
Back
Top Bottom