Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Kwa nini wanawake hununa bila sababu ya msingi?

Usiumize kichwa man!! Wakati analeta hzo za kuleta chukua poz baadae atakaa sawa tu, ukilumbana naye utaumiza bure kichwa chako.
 
Mwili wa mwanamke unaendeshwa zaidi na vichocheo/hormone ambavyo huathiri hisia "mood swing". Jaribuni kuelewa maumbile yao na muwachukulie kwa upole
 
Ninaomba kwa anayefahamu sababu inayopelekea wanawake kununa bila hata kuudhiwa na mtu yeyote, unaweza kuta jana alikua mcheshi na mchangamfu ila siku inayofuata kabadilika kabisa, na hata kufikia hatua ya kutomsemesha mtu yeyote yule.

mbona hiyo jibu unalo wewe nyumbani ? kwrnu muulize mamayako jibu atakupa wewe siumezaliwa na hao wenyekununa????
 
Wanaboaaaaaaa. Ila akininunia namtafutia muda nampiga paipu hadi anatabasamu mwenyeww
 
Wakuu tatizo la kununa kwa kweli ilo lipo sana hii tabia inapelekea mwanaume awe na michepuko ya kutosha yaan mfano hai ninao kabisa nimeuona jaman wamama na madada zetu badilikeni jaman
 
wanasema huenda yupo kwenye period, au wanapima upendo mume

mkuu hakuna cha period wala nini wengine wana migubu ya kuzaliwa afu mda mwingine unakuta ananunia nyumba nzima hii tabia sio kabsaaaaaa
 
Baadhi ya wanawake, si wote.



 
Jamani taratibu coz nampa shem/wif yenu ajisomee mwenyewe post na comments husika,nimemkuta kama mtoa maada alivyosema "kanuna bila sababu".
 
wanasema huenda yupo kwenye period, au wanapima upendo mume

mkuu yan hii tabia ipo sana hakuna cha period wala nin wengine wana migubu ya kuzaliwa siipendi hii tabia jameni
 
Mwili wa mwanamke unaendeshwa zaidi na vichocheo/hormone ambavyo huathiri hisia "mood swing". Jaribuni kuelewa maumbile yao na muwachukulie kwa upole

Japo mi sijasoma, lakn sidhan kama hil laweza kuwa jibu! Ni opinion tu mkuu usijeona kama nataka ligi na wew, wala hata kidogo!
 
Back
Top Bottom