Bora kujenga mwenyewe na UITAMBIKE MWENYEWE.....nyumba ya kununua tayari ILISHATAMBIKWA NA HUJUI ALITAMBIKIA NINI?
Bora ujenge mkuu siku hizi usanii mwingi sana mjini watu wanajenga nyumba ya udongo inapigwa plaster na finishing nzur hutoweza kuja kuamini ni ya udongo.....utainunua kama nyumba ya block kwa milion 200...ukija kusanuka hata aliekuuzia hutokaa umuone tena.Guys naombeni ushauri wenu kwa wenye experience hivi kati ya kununua na kujenga nyumba ipi ni bora
Bora kujenga mwenyewe na UITAMBIKE MWENYEWE.....nyumba ya kununua tayari ILISHATAMBIKWA NA HUJUI ALITAMBIKIA NINI?
Guys naombeni ushauri wenu kwa wenye experience hivi kati ya kununua na kujenga nyumba ipi ni bora
Hii nchi kwa ushirikina! ndiyo maana hakuna maendeleo
Kijana una miaka 22 unatafuta jumba ya kazi gani? Hadi ufikishe 40yrs hiyo nyumba itakua kama makumbusho ya kale, cha msingi nunua kiwanja/shamba tulia epuka hasara zisizo za lazima kuna new models house planning zitakuja utajenga tu.