Nianze kwa kuwapa salamu zangu wana jukwaa
Pia poleni kwa kilichotokea MTV..
Nianze na uelewa wangu juu ya hip hop,, hizi ni nyimbo zenye tija juu ya uelimishaji na ukombozi wa jamii toka way back kama wasemavyo vijana,, huwa hazihitaji sana muziki au mdundo zaidi zenyewe zinaweza kufikisha...