Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
- Thread starter
- #181
Kweli?Dah post ya ajabu ajabu,yet umepata likes kibao....
Kweli?Dah post ya ajabu ajabu,yet umepata likes kibao....
NdioWee jamaaa ni 1/4!
teh teh unazidi kutibua watu wewe
wanajitibua wenyewe sihusikiUnahusika na hiyo mikopo uliyo wakusanyiawanajitibua wenyewe sihusiki
Kweli?
nifungue macho sio hutayatoboa ili nipewe boda boda na nyumbaUsiogope
Lakini hiyo si ni mikopo mkuu?Mm sio muathirika. Mimi nipo zangu second year. Il ktk utani wa aina hii siwezi kuuvumilia hata kama mimi sio muhusika.
Kuna mtu katumia 80000/ kwa ajili ya ku apply mkopo kapata 23000/ACHENI UONEVU KWANI NINI KAMA SIO MIKOPO KWELI.?? HAKUNA BAN WALA NN

Unahusika na hiyo mikopo uliyo wakusanyia

SawaNdiyo hivyo...
Lakini hiyo si ni mikopo mkuu?
we umenielewa...nifungue macho sio hutayatoboa ili nipewe boda boda na nyumba
sema suuToo bad ushaandikahaahha sina cha kuandika
