New Korean Drama: Descendants Of The Sun (2016) NEW

Tafuteni hii The Flower in Prison, hutajuta ni mpya na bado
inaendelea kuoneshwa katika televisheni. Kila wiki inaoneshwa mara mbili.
Mpaka naandika zimeshafika episode 45 bado 5 kumalizika.
Ni zile story za kifalme ila hii kali sana.
Mkuu Hii Nayo Naiweka Kwenye List Yangu "To Be Watched"
 
Nitaenda Siku Korea Kufanya Tour Na Kutembea Na Hawa Watoto Wazuri... Nani Ananiunga Mkono
Tutakuwa pamoja katika hiyo safari asee movie za kikorea niliangalia jumong tu kipindi kile ila nilipoona uzi huu mkiisema naandika chini naangalia hakika natoa ushuhuda nimeshaangalia series kama 7 mpaka sasa sijuti na salute kwa aliyeleta uzii huu......
Nitakuletea Mrejesho Mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom