Bongo Hip-hop vs International awards

Metta jR

Member
Oct 18, 2016
11
9
Nianze kwa kuwapa salamu zangu wana jukwaa
Pia poleni kwa kilichotokea MTV..
Nianze na uelewa wangu juu ya hip hop,, hizi ni nyimbo zenye tija juu ya uelimishaji na ukombozi wa jamii toka way back kama wasemavyo vijana,, huwa hazihitaji sana muziki au mdundo zaidi zenyewe zinaweza kufikisha ujumbe kwa maneno yalio makavu tu Bila beat (michano),,
Hivyo basi haya maneno yanahitaji ufahamu na uelewa wa lugha itumikayo mf:English au Swahili ili kuwa makini na kinachoongelewa,
Na tukiangalia hizi INTERNATIONAL AWARDS lugha mahususi ni English na ndio matokeo ya best hip hop Africa tutasikia tu kila siku ni Aka, Emtee, kuli khuna,nyovest, sarkodie, du dama, hawa wote michano yao ni English tongue,,,! Mi sidhani kama Africa kuna watu kama ngosha, mtambo, stamina,makini, nk
So by then hizi awards ni feki coz zinahusisha na matumizi ya lugha,, English with you more you approach winning,,, Ahsanteni BONGO Flava mnajitahidi kuwadanganya kwa beats na video kali but nothing inside..
J2 njema wanajukwaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom