Recent content by messiah

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Baraza Kuu CHADEMA wawalipua Mbowe na Slaa

    wafitini hufitinika.....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndot yangu ya kuajiliwa na TISS inazidi kudidimia.

    TANZANIA INTERBANK SETTLEMENT SYSTEM (TISS).. simple, omba kazi bank....omba uweke department ya interbank transfers........utafanya kazi na TISS
  3. M

    JamiiForums Tanzania The Shocking Information against CHADEMA

    heading na content haviendani....heading inalenga facts, content inalenga utabiri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania For Critical Thinkers Only: Nini tatizo la Waraka wa Mabadiliko 2013?

    sijaona tatizo la ule waraka..unajua hata nyumbani, ukiwa mkali sana, mchoyo sana, msiri sana, kila kitu ni wewe tu, maamuzi yako ni yako tu, hushirikishi mama, wala mtoto....itafika wakati,, watoto watakuwa na mahitaji, na hawatokwambia, au pengine watakwambia mara moja, au mbili, usipoAct...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    were u sleep typing?? cause sitaki amini ulikuwa in your soundmind when u typed this!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    first kuwatoa madarakani, then uanachama.....then for what they know...kitachofuata ni kuwaua na kuiframe serikali..
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

    hahaha, dunia kweli ina vituko
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kodi kuingiza gari hii Tanzania

    dola 4000
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nguvu za kiume

    hapana, diabetes ndo inaweza pelekea upunguf na hata ukosefu wa nguv za kiume. sukar ni nzur, koz inasaidia kuingza nguv mwilini.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Vichaa duniani na kuongezeka kwa matukio ya vurugu nchini

    kama ni hvo, bsi matahra weng watakuwa waislam ambao tangu utotoni wanafundishwa chuki tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtu ukikutana na simba au chui ghafla porini tahadhari ni ipi?

    never turn your back on them, simba na chui, pure born killerz, lyk any other killerz wit conscience, they cant kill whle lookin at ur eyes. ni binadam pekee mwenye uwezo wa kuua huku anakuangalia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Madai ya Dkt. Slaa kuhusu wafungwa wa kigeni kuletwa na kufanya kazi Tanzania

    america na china ni economy rivals, Slaa is using that in hz advantage. na bdo watu wanamuita mzalendo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

    mi naamini ungeweza kupeleka hizo hoja kwa wasimamizi wako wa kiroho ingekuwa vema zaidi, kuliko kuzileta hapa, mahala ambapo shetani anapatawala kwa zaidi ya asilimia 90...(taking into consideration mitusi inayomwagwa hapa daily),.....pia, kwa jibu la swali kuwa endapo utaenda mbinguni..i...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 30 na uzito wa kilo 102!!!

    pole, pengine target yako ilikuwa kumfikia huyo Triple H, anyway that's not the case..... kula sana sio tatizo, tatizo ni aina ya vyakula unavyokula hata kama unakula kidogo kidogo mara nyingi....kiukweli, kama ulivyoeleza awali, si salama kuwa na uzito mkubwa...though hatari zaidi tungeweza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Amenichunia kisa nilimtania nataka penzi.

    wa mtwara au???
Back
Top Bottom