TRIPLE H
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 651
- 349
Kwenu wadau,
Kama nilivyojieleza hapo juu ndivyo ilivyo,lkn mwanzoni ckuwa hivyo.
Nilipokuwa form six mwaka 2005,uzito wangu ulikuwa 64kg na nilipokuwa namaliza udsm uzito ulikuwa 76 kg,lkn sasa ndo hivyo tena 102kg na si kwamba nakula sana!
Kama nijuavyo uzito huu si salama kiafya ndo maana naandika hapa jf ili wadau aina ya mzizimkavu(undeniable doctor) muweze kunisaidia la kufanya maana hapa jamvini ni kila kitu.
Ahsanteni.