Recent content by messi1991

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dear Nyerere!

    Dear Nyerere uliacha wababu wanalea wajukuu sahv wababu wanaoa wajukuu ..... Dear nyerere interview cku hizi wa mwisho ndo anapata kazi..... Dear Nyerere uliacha simba akiwa mkali kuliko wanyama wote lakini saizi binadamu anaongoza kwa ukali, roho mbaya, asiye na huruma, muuaji, asiyejua nini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kupata antivirus

    Naomba nitumie nami link
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Nisaidie s0370/0068/2011
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kushafanya mapenzi na mwanamke mara ngapi huwa unaacha kutumia condom?

    Condom mm nakuwa sina hamu ila peku bao tatu znaunganishwa kabsa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu 22 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

    Najiuliza sana wamesema walivyoweka kanuni kwamba rais hawezi kuvunja bunge kwamba wote ukawa waliweka hiyo sheria sasa hawa kwann wanataka kuvunja sheria iliyowekwa nyuma kwamba wawaruhusu watu walio nje wapge kula na je wale walio nje kama wa ccm je hela wanapata au hawapati maana hauwezi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dalali dodo

    Pouwa nitamuangalia jamaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga Dodoma

    Natafuta chumba cha kupanga hapa mjini dodoma kiwe kimekaa maeneo mazur sana na kisiwe maeneo ya changombe au mail mbili lakin maeneo mazur napenda iwe area c,makole,,,airport area d na maeneo mengne mazur maana me ni mfanyakazi kama kuna mtu anajua ani pm au accoment chin
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuwa best friend na msichana unayempenda

    Mm nami nilikuwa na friend wangu wa kike ambaye ni jirani yangu home toka nipo na miaka 18 na yy 18 nipo sekondary form four na nikaenda chuo miaka mitatu muda huo wote tunaongea naye kwenye cmu kama sina hela yy ananiunga cheka kuongea na simu mpaka saa nane usiku but me npo chuo nikipata...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hv mpaka sasa hela ni hiyo hiyo au
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea baada ya probation period kwenye makampun ya simu

    Nashukuru wote nmewaelewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea baada ya probation period kwenye makampun ya simu

    Bhas balaa maana nmeona majamaa zangu makampuni mengne wanawaongezea mmoja alikuwa anapewa kilo sita sasa baada ya kumalza anapewa lak nane wapo mafriend kama watatu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinatokea baada ya probation period kwenye makampun ya simu

    Nimeajiliwa kwenye kampun ya simu sasa nimemaliza miezi minne baada ya kuajiliwa bado miez miwili kumaliza probation sasa nauliza ukimaliza probation kwenye makampun hela wanakuongezea au laah
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

    Dodoma wapi tena najua yupo dar
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baghdad kweka kubadilika kuwa mwembamba

    Nimeshangaa sana leo kwenye friday night live kumuona baghdad kuwa mwembamba sana kubadilika toka unene wa Sean Kingston.
Back
Top Bottom