Msaada Jinsi ya kupata antivirus

Msaada Jinsi ya kupata antivirus

Mwl.RCT nimekucheck pm sijapata majibu toka kwako...............mkuu nimedownlod vizuri ktk kuistall ikaleta ujumbe huu na kuishia hapo......."This installation package is intended for 32-bit operating system. please use an installation for 64-bit operating system ..
 
Mwl.RCT, sijui na mimi nitakuwa nimechelewa hiyo antivirus? Kama sijachelewa please nitumie nami kwenye PM!
 
Mwl.RCT nimekucheck pm sijapata majibu toka kwako...............mkuu nimedownlod vizuri ktk kuistall ikaleta ujumbe huu na kuishia hapo......."This installation package is intended for 32-bit operating system. please use an installation for 64-bit operating system ..

yah it means that hiyo setup ni kwa windows zenye 32 bit tu xo ur window package is 64bit xo 32 bit ukiinstall ktk 64 bit lzima itagoma xo check katika hiyo folder km kuna setup for 64 bit then install km aipo mcheck Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT namimi naomba msaada wako, unitumie hiyo link kwenye PM. Asante.
 
Back
Top Bottom