watakufukuza kwa lipi,kama mda uwo wa majaribio wameridhika na wewe,acha kumdanganya mwenzako wewe kama ujui kaa kimyaa, naomba uwe serious na maswali kama haya, cha msingi mkuu kama ume fuzu uwo mda wa majaribio subiri matunda ila kama umevulunda utapewa nauli tu kwa heriUnafukuzwa kazi mkuu. Kua tayari kwa hilo.
Wakuongezee hela kwa lipi?Nimeajiliwa kwenye kampun ya simu sasa nimemaliza miezi minne baada ya kuajiliwa bado miez miwili kumaliza probation sasa nauliza ukimaliza probation kwenye makampun hela wanakuongezea au laah
Nimeajiliwa kwenye kampun ya simu sasa nimemaliza miezi minne baada ya kuajiliwa bado miez miwili kumaliza probation sasa nauliza ukimaliza probation kwenye makampun hela wanakuongezea au laah