Hojlund ni Chezaji acha masihala, Sema tu timu yetu ni tia maji. Ila pale kati tukipata striker flani hivi refuu kama Weghorst, kwa style hii ya uchezaji wakija kushtuka sisi waleeee🔥
Ukiwakuta sasa wanadanganyana mpaka mishipa inawatoka utasikia yani trosadiii trosadiii sijui maliti neliiiii 😅 faken kabisaaaaa. Unafungwa na bruno mwenye matatizo ya macho tokea udogoni😄
Tazama hii, hapo awali walishindwa kupata ushindi zidi ya prophet amorim. Game ya leo hawato amini watakacho kiona.
zandaaani kabisa inasemekana prophet ameomba haya mbele ya tajiri mwembamba...
"asipo ifunga arsenal gori zaidi ya 2, kabla ya ku resign atundikwe uchi pale Carrington training...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.