Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,227
- 76,751
Si mchezo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio suala la kuogopa, Tetea kibarua chake hapo Arsenyau kinatokana na uwezo binafsi wa Salima, Magalasa na SakaNyoka.
Nje ya hawa wachezaji 3 Arsenyo haina tofauti yoyote na Southampton au Ipswich Town.
Wachezaji gani wanasababisha msitoke nafasi ya 12, 13 & 14