Recent content by Meshack G

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumfikisha kileleni mke (Wife) kila siku HAIWEZEKANI; labda mara moja moja lakini siyo kila siku NEVER

    Ni vipi kama mwanamke anahitaji kila siku.. anaweza asiwe muwazi ila akavumilia kwa kuwa mwanaume umeweka huo utaratibu.. Nkishawishi cha kuchepuka hk kwa upande mwingine..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mdada kunuka choo haja kubwa ni kutozingatia usafi au ndo uasilia tu?

    Hilo wazo ni sahihi kabisa.. hali hiyo hutokea kama hajisafishi vizuri kwa nyuma, na kabla ya kufanya tendo ni vema pande zote mbili mwanamke na mwanamme wakaoga au kujisafisha. Maana mapenzi ya usafi huwa ni mazuri na hukinai..
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza binti mtandao yupo uholanzi ameingia king msaada jinsi ya kufika kule

    Write your reply... Vile vile kumbuka kuna internet scammers
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais wa hawamu ya Tatu yanayoishi: Serikali zilizopo hazioni zile zilizopita zilifanya nini

    Write your reply...Hatari kwelikweli... na utaalamu wa kiswahili, lazima tukosoane ili tuongee lugha fasaha..
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais wa hawamu ya Tatu yanayoishi: Serikali zilizopo hazioni zile zilizopita zilifanya nini

    Write your reply...😀😀😀😀😀😀😀😀
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume anafaa kuwa mgombea mwenza wa chama cha upinzani kitakachotoa mgombea Urais kwa mwanvuli wa UKAWA

    Huyu mama si mwanasiasa, bali anasimamia haki.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wa Rais

    Afrika.. Arika.. tunelekea wapi..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mbunge Zitto Kabwe Mkoani Kigoma yaungua moto

    MUNGU atusaidie Moto usiojulikana..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hataki kufanya na mimi mapenzi, sijui huyu mpenzi wangu nimuache

    Kwa nini anakuwa mchoyo hivyo pia umakini unahitajika.. isije ikawa mbuzi kwenye gunia mkuu..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Mkuu kuna ajabu gani hapo... Na inashindikana nini kwa hicho kiasi cha bilion 300.. Wakati taarifa ya kamati ya ya uchunguzi imebainisha ni takriban bilion 1000 na kitu... zingepotea kwa hizo kontena 270 zinazosafirishwa kila mwezi..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

    Mkuu nipo bank ya NMB
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

    Mkuu ni kweli imesoma.... ubarikiwe kwa taarifa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

    Mkuu are u sure...??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

    Wakuu matumaini yapo... Imethibitishwa watumishi sekta ya ulinzi wamelipwa jana..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

    Hapa Ndio Internet Banking Wanatengeneza Pesa, Wafanyakazi Laki 5, Say Laki 3 Tunatumia Internet Banking, Kuangalia Salio Sh 500, Ukiangalia Mara 2 Kwa Siku Kwa Siku 3 Hesabu Inakuja Hivi 300, 000 X 500 X 2 X Siku 2=600, 000, 000/= Biashara Gani Unatengeneza 600ml Kwa Siku 2.Tuwe Wapole
Back
Top Bottom