Zimbabwe: Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wa Rais

naelekea zimbabwe nikaone maajabilu ya tawala za kisultani ,siasa chafu na mazingaombwe ya katiba yao ...giza limetanda afrika ombwe kubwa la uongozi
 
Afu huyu mke wake alikuwa secretary tu kwenye ofice ya mugabe, hope hata skule sidhan km ipo ya kutosha na ana inferiority complex
 
Tetesi please, siyo confirmed news: Mwenye taarifa atujuze, nasikia Zimbabwe siyo shwari, wanajeshi wamekataa Mugabe kumfukuza VP. Mwenye uhakika atujuze!
 
leta chanzo tufuatilie
 
Huyo mzee anayezeekea madarakani inabd wakamate afu agegedwe mbaya kabisaa,hakuna namna
 
00a02432c3890e329b4653950492af87.jpg
4a7dafeab3e474a8b5dc5a116f980a01.jpg
Rais Robert Mugabe amemfuta kazi Makamu wake wa Rais, Emmerson Mnangagwa kwa mujibu wa Wizara ya Habari nchini humo.

Bw. Mnangagwa mwenye umri wa miaka 75, ameachishwa kazi kwa madai kuwa alionyesha tabia za kukosa uzalendo na uaminifu hasa kwa Rais. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Simon Kahaya Moyo.

Kufutwa kwake ni ishara kuwa mke wa Rais Robert Mugabe, Bi Grece, atafuata nyayo za mumewe za kuwa Rais wa Zimbabwe.

Siku ya Jumapili Bi. Grece Mugabe alitoa wito wa kutaka mumewe amfute kazi Mnangagwa.

Bw. Mnangagwa, ambaye ni mkuu wa zamani wa Idara ya Ujasusi, amekuwa kwenye mstari wa mbele kumrithi Rais Mugabe.

Kufutwa kwake kunakuja baada ya Rais Robert Mugabe, 93' kutishia kumuachisha kazi Bw. Mnangagwa hatua ambayo imezua uvumi kuwa anataka mke wake kuchukua hatamu za kuliongoza taifa hilo.
usicheze na mbunye!
 
siku za hapa karibuni kuna Askofu wangu mmoja Mkatoliki (kama sikosei wa Zanzibar) alinukuliwa akimmwagia sifa rais wetu mpendwa sana JPM na kumlinganisha na Mugabe.

wewe Askofu wangu wewe........ Mungu wangu anakuona ujue!!
 
Back
Top Bottom