Recent content by merus

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    Kabla ya kujibu, nataka nikufahamishe kwamba Waisraeli walikuwa wateule wakati Mungu alipomwita Abramu(Ibrahimu) kupitia huyo taifa la Israeli likaanza. Kusudi la Mungu ni kuandaa njia ya kumpitishia mwokozi. Na kwa wakati ule walikuwa wateule ndio maana aliwapa sheria namna ya kuishi na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Sirudi CCM pamoja kuwa nitateseka kwa visasi hivi

    Mungu atakupigania Mh, usiogope dai haki yako popote. Kuhama kwako kumewaumiz ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

    Biblia inasema ikimbieni TAMAA YA MWILI.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Soma haya majina! Umegundua nin?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya hizi kamati teule na Mh Lisu nani yuko sahihi kuhusu ACACIA?

    Hata Mimi sijawah kusikia
  6. M

    JamiiForums Tanzania SPORTPESA SUPER CUP SPECIAL THREAD: Taarifa za Mechi zote na matokeo yote mpaka Ubingwa

    Channel gan itarusha final Leo?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Kumbee! Aisee nimechanganyikiwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nampa Taraka

    Kitu gani kigumu cha kumshinda Mungu? Mwambie shida yako. Usiwah kutoa talaka
Back
Top Bottom