Kuliwaza kazi ackwambie mtu tena usiombe umpate aliyeachwa muda mfupi kabla ya kumpata... teh tehBila shaka unasubiri hiyo offer hahaha
"Taraka" ni mnyama gani mkuu. Nadhani ulimaanisha "Talaka."Pole.Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
Kama kichwa cha habari!

ahahaaa kupatwa kwa talaka. ukisusa wenzio walaSijaomba ushauri bhandugu!
Nimeomba mnipe "muundo wa taraka'
Nimcharaze huyu my wife!
Akaolewe na wanaosema watampata lini
Sijaomba ushauri bhandugu!
Nimeomba mnipe "muundo wa taraka'
Nimcharaze huyu my wife!
Akaolewe na wanaosema watampata lini

Kama kichwa cha habari!
Nimechoshwa na stress za ndoa
Nataka kuwa huru kwa kumtariki Mke wangu.
Sasa sijui muundo wa hiyo taraka msaada tafadhali
Kwamaana sijawahi kufundishwa popote namna ya kuandika taraka zaidi ya barua,muhtasari n.k
migogoro ni sehemu ya maisha.Hakuna kitu kibaya kama talaka mkuu,ebu delete hizo fikra kichwani mwako.Talaka hutoa taswira mbaya sana kwa werevu wa maana yake kama imaani inavyoeleza hilo.Kama kichwa cha habari!