Kati ya hizi kamati teule na Mh Lisu nani yuko sahihi kuhusu ACACIA?

Feb 9, 2017
23
45
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
 
kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,673
2,000
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
Mwakani laziba Barcelona ichukue UEFA.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,223
2,000
Jamani tusipende kumislead/kupotosha..

Sijawahi kumsikia Lissu akisema ACACIA hatukwapulii Maliasili zetu..

Tena kuna clip anasema haya makampuni yanatupiga kweli kweli..

Yeye alichokuwa anapigia kelele na kuonekana anawatetea ACACIA ni pale anaposema hawa jamaa wapo right kisheria maana mikataba tuliyofunga nayo ni mibovu.

Ivyo kama tunataka kudeal nao lazima kuwa waangalifu maana mikataba yetu wenyewe ndio iliyowaruhusu kubeba hayo Makinikia na hii mikataba kwa ujumla wake inawa favour wao.

Lakini kuhusu kuibiwa Lissu alisema wanatuibia kweli kweli. Tena akasema acha hii michanga, kuna zile dhahabu zenyewe ambazo wanazipakilia kwenye airport zao kule kule migodini ambako huko ndio wanatupiga zaidi.
 
South

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
3,494
2,000
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
Umemsikiliza mkuu alitoa hitimisho gani kuhusu mikataba? Na TL alikua anazungimzia nini na kushauri nini kifanyike? Acha kupotosha ninyi ndio mnaofanya watanzania tuitwe malofa kwa njaa njaa zenu hizo
 
Kiraka

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
3,020
2,000
Jamani tusipende kumislead/kupotosha..

Sijawahi kumsikia Lissu akisema ACACIA hatukwapulii Maliasili zetu..

Tena kuna clip anasema haya makampuni yanatupiga kweli kweli..

Yeye alichokuwa anapigia kelele na kuonekana anawatetea ACACIA ni pale anaposema hawa jamaa wapo right kisheria maana mikataba tuliyofunga nayo ni mibovu.

Ivyo kama tunataka kudeal nao lazima kuwa waangalifu maana mikataba yetu wenyewe ndio iliyowaruhusu kubeba hayo Makinikia na hii mikataba kwa ujumla wake inawa favour wao.

Lakini kuhusu kuibiwa Lissu alisema wanatuibia kweli kweli. Tena akasema acha hii michanga, kuna zile dhahabu zenyewe ambazo wanazipakilia kwenye airport zao kule kule migodini ambako huko ndio wanatupiga zaidi.
Wanafanya makusudi hao buku saba, baada ya kuona kamati imekuja na mapendekezo aliyotoa Lissu na wengi wapinzani miaka mingi
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,000
Lissu yuipi? Aliyekuwa anatafuta taarifa Kwa J MANYIKA? sujawahi kuona mtanzania wa hovyo kama LISSU
 
luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,854
2,000
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
Wapi Lissu amewahi kusema Acacia wako sahihi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,707
2,000
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!

Nadhani ama uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ama umeamua kujitoa ufahamu. Lissu hakuwahi kusema kwamba ACACIA wako sahihi, alisema shida ya wizi wa madini ni sheria na mikataba iliyoingiwa na maccm. Badala ya kung'ang,ana na mchanga tubadilishe sheria na mikataba, na namshukuru Mheshimiwa sana ametii na kutoa maagizo ya kurekebisha sheria.

Mmecheza mziki wa Lissu kwa kupenda kutokupenda.
 
luvcyna

JF-Expert Member
Feb 24, 2009
1,854
2,000
Tundu lisu haamini duniani na ahera,mtu aliyesema Lowasa ni mwizi kwa miaka 8 ila akamsafisha kwa sekunde moja unamuamini?wanasiasa ni wasaka tonge tu broo
Kwa hiyo unaowaamini wewe ni wale waliokwambia jana useme ndiooo wakati wa kusaini mikataba na leo wale wale wanakwambia hapana
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,840
2,000
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!

Ninatamani sana kuwe na kipimo kingine cha ufahamu zaidi ya kusoma na kuandika tu!. Ninadhani kuna haja ya kupima na kutoa alama kulingana na uwezo wa kuelewa.

Ni huzuni kubwa binadamu mwenyekichwa kushindwa kuelewa hoja za Lisu!. Lisu alitetea kwa bidii san akwamba msingi wa mambo haya ni ubovu wa mikataba. Anakwenda mbele zaidi na kuainisha kwamba wizi haukufanyika kwa michanga tu, bali hata makampuni ambayo yanakamlisha michakato yote hapa hapa bila kusafirisha michanga. Kumekuwa na wizi mkubwa kiasi kwamba taifa halipati manufaa sahihi ya madini yake.

Kwa wenye akili wattambua kabisa Lisu alichokuwa anakipigania ni kung'oa mizizi ya wizi badala ya kukata matawi ya juu yaani kulia na mchakato wakakti mikataba na kanuni zinatuhujumu.

Enyi binadamu mfanyweje ili vichwa vifunguke?

Wewe unaamua ku breach makubaliano bila ushauri makini wa kisheria unategemea kupata faida? unaweza kuwa dictator kwako lakini kamwe huna uabvu wa kuwa dictator dunia nzima.

Ubabe huo huo ulitumika kuzuia meli za wavuvi wa samaki, wakaitwa maharamia wa Magu, lakini kwa kuwa maamuzi hayakufuata sheria, tailfa lilinggia katika hasara ya kulipa mabilioni ya pesa.

Kukurupuka kunafuingiza katika hasarakubwa. Mweleweni Tundu Lisu hata kama ni kwa kujisomea makala zake usiku kucha hadi muloweke na miguu kwenye maji. Vingienvyo, mnayoyafanya ni aibu.

Kwa mtu mwenye akilitli timamu, anapashwa kuelewa kabila kwamba haya yote matumizi ya muda wa kazi, fedha za kuunda kamati, gharama za kamati ni matumjizi mabovu yafedha za umma kama si ujinga wa CCM kutumi aubabe kila sehemu bila kutumi akil.i.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
16,096
2,000
Kamati zote mbili teule zimetoa taarifa kwamba ACACIA wamekuwa wanafanya udanganyifu kwenye uwekezaji wao katika madini hapa Tanzania lkn Mh. Lisu anatetea kwa nguvu na akili zote kuwa ACACIA wako sahihi. Tunaomba wanasheria mtusaidie hili!
Wapi Lissu alisema hatuibiwi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom