Recent content by mercy j

  1. mercy j

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu na masahada tafadhali juu ya Swala Hili linalo nikabili mwana forum mwenzenu

    Habari samahani nakuomba Pm maana nimekutxt naona kimya Hello
  2. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kutambua jinsia ya mtoto bila ultra sound?

    Mtoto wa kiume huyo. Kama ukiona mwanamke mjamzito yupo karibu sana na watoto wa kike basi tumboni kabeba mtoto wa kiume nafahamu hilo swala mm utakuja niambia mpendwa
  3. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, mambo yamenifika shingoni

    Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
  4. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Mmh ndoa hizi
  5. mercy j

    JamiiForums Tanzania Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

    Jirani yangu mfinanga
  6. mercy j

    JamiiForums Tanzania Prof. Rwekaza S. Mukandala amaliza muda wake UDSM. Awaaga wana UDSM

    Eeh Profesa Mfinanga ni jirani yangu, kumbe UDSM mnamtambua eeeh safi sana!
  7. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki kunitambulisha lakini anataka tuzae mtoto ilihali hata kazi hajapata

    Yani huyo mwanaume haeleweki unaweza zaa nae akakutelekeza ukawa single mother waulize kina faiza ally shida wanayoipata kuwa single mother yani mwanaume mmedumu miaka minne hana kazi wewe una kazi halafu akuendeshe? Yani usijaribu kuzaa na mwanaume asieeleweka utajiaribia maisha mwambie kama...
  8. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki kunitambulisha lakini anataka tuzae mtoto ilihali hata kazi hajapata

    Wewe usizae
  9. mercy j

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume anaejielewa kwa mahusiano na ndoa

    Wewe hufai
  10. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

    Embu tuma picha yako tukuone kwanza
  11. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

    Ahahahaa rombo nimeenda marangu kilema himo moshi mjini vijijini kote nimeenda si utudanganye hapa mi sikatai jamani wachaga mna sura nzuri ila vingine mtasubiri tu
  12. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna mchaga alie na mguu wa via au shepu labda kama baba msukuma au muhaya mama mchaga ndo anaweza akawa na element hizo kidooogooo lakini sura sikatai mnazo mmebarikiwa sana vingine usitudanganye sisemi kwakuwa mi msukuma no nasema jinsi...
  13. mercy j

    JamiiForums Tanzania Longing for love connection to marry

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. mercy j

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani nione live
  15. mercy j

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda wasukuma sana, wana upendo wa dhati

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha kutudanganya unadhani sijAishi uchagani mm? Sura wanazo kweli sikatai tena asilimia mia zote ila tuje kwenye makalio , hips na miguuu utacheka ahahahahaa ahahahahaa
Back
Top Bottom