Naombeni ushauri wenu na masahada tafadhali juu ya Swala Hili linalo nikabili mwana forum mwenzenu

Rahul Pacquao

Senior Member
Feb 9, 2013
148
250
Unaweza ukakuta kuna mtu kampata anamzuzua kichwa tu na ndo maana kaamua kufanya hayo, na kusahau kua kuna maisha tena huko mbele. Mwanamke akikamata pesa/kazi nzuri huwa mara nyingi inakua hivyo, japo sio wote, ila kibarua kikiota nyasi huwa wanachanganyikiwa na kujirudi kuanza kuomba msamaha.

Ndo maana nimemwambia mkuu asijitie mawazo wala presha, japo kweli ni jambo gumu, linauma sana, hasa ukiangalia ndio mtu uliemchagua uishi nae maisha yako yote na ndio mama wa mtoto wako ila kaamua kukugeuka.

Huyo mwanamke naamini atarudi kwa jamaa kumpigia magoti na kumwomba msamaha tu, apewe muda ayaone maisha yanavyokua.

Pia jamaa ndio anauwezo wa kumnyoosha huyo mwanamke kisheria kuliko maelezo, kama ataamua kumnyoosha kweli. (Ila si mshauri amnyooshe, amwache tu arukeruke na afanye analotaka, yeye apambane kupata ruhusa ya mahakama ya kumlea mtoto tu, halafu amwachie mungu amlipie maumivu aliompa)
nimekuelewa mkuu
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,050
2,000
nimekuelewa mkuu
Ukiamua kufanya maamuzi yako mkuu, unaweza ukatafuta mwanasheria wa kukuwakilisha mahakamani au kama utajiwakilisha mwenyewe, ukaomba msaada wana JF tukakuasaidia kuandika maombi na kukutumia ya kupeleka mahakamani, pia ukaelezewa hatua za kufuata ku file maombi yako hayo.

Ukiamua kumsubiri mwanamke aamue lake, pia sio tatizo
 
Rahul Pacquao

Senior Member
Feb 9, 2013
148
250
Ukiamua kufanya maamuzi yako mkuu, unaweza ukatafuta mwanasheria wa kukuwakilisha mahakamani au kama utajiwakilisha mwenyewe, ukaomba msaada wana JF tukakuasaidia kuandika maombi na kukutumia ya kupeleka mahakamani, pia ukaelezewa hatua za kufuata ku file maombi yako hayo.

Ukiamua kumsubiri mwanamke aamue lake, pia sio tatizo
Kama tutafika mahakamani nitasimama Mimi Kama Mimi Swala lolote litakalo nitatiza sintosita kuwaletea mezani kwaajili ya kulipatia utatuzi kwa wakati.
 
happiness001

JF-Expert Member
Feb 14, 2015
581
1,000
Sababu alizo tumia kiukweli hata kwa Mimi mume wake nashangaa sana ndio maana nikasema ushauri wa mashoga na support ya kuvunja ndoa kutoka kwa baba yake kwakua mshahara wa mke wangu wote humpatia baba yake na kuniambia nimemsaidia baba yangu alikua ana shida Ila Mimi naona fine jukumu la kuilea familia ni langu kwani Mimi ndio kichwa cha familia.

Kisa kilianza mke wangu Ali nunu brender ya juice tulivo kua kazini kama kawaida huku nyumban mfanya kazi aliona hiyo brender na akaanza kuitumia bila ridhaa ya mama pia akatumia na kinywaji cha mke wangu kilichokua kwenye fredg bila ridhaa yake mke wangu aliporudi alichukia sanaa nakugomba licha ya hivyo pia akaninunia na Mimi nakuninyima haki yangu ya nyumba mwezi mzima lakini nika mkanya mfanya kazi mbele yake akiwepo kua asifanye wala asiguse chochote bila ridhaa ya mke wangu lakini pia hakuridhika nilipo ongea na mfanya kazi kwa ukarimu alitaka nimgombeze nimkemee lakini bila kufikiria kesho mfanya kazi huyo ndo atakua na mtoto pia inaweza kua hatari kama hatuto ishi na mfanya kazi kama ndugu kwakua yeye ndio anae kaa na mtoto pia akisaidiana na bibi wa mtoto.

Mpaka sasa nikimuuliza sababu kuu hasa ananiambia siwezi kuishi kwenye nyumba hii kwasababu yeye vitu vyake vinatumika bila yeye kupenda anataka kuishi peke yake ajitawale mwenyewe hivyo hata uamuzi niliochukua wakumkanya mfanya kazi anaona si kitu yeye anachotaka nikuishi peke yake tu kiukweli inaniumiza sana roho maana sababu ya yeye kuvunja ndo ni brender na ni nzima mpaka sasa sio kama ilitumika ikaaribika pia ilitumika Ku brend chakula cha mwanae dah inanitesa kichwa sanaaaa....
Mmh something is telling me huyo beki tatu huyo ndo chanzo cha tatizo
Hujamla kweli alafu wife akagundua?
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,804

Pole kwa uboya....huyo amepata.mchepuko...mwambie apotee
 
Aug 6, 2016
29
45
Mhh,kweli hiyo ndoa imekuwa ndoano, Ni kweli kama ndivyo ilivyo hata mimi namsikitikia huyo mtoto. Na pia inawezekana hampendi na hapendi kuondoka nae, ila ankukomoa tu kwa kuona kuwa inakuuma ukiwa kwa yeye kuondoka nae, Pia usishangae baadae akamrudisha yeye mwenyewe.
Angalizo kwa wanaume wenzangu; kuna wimbi la wanawake ambao wanataka kuolewa na hawako tayari kwa maisha ja ndoa. wao shida yao ni kiwa na historia kuwa wamewahi kuoana. Uking'ang'aniza mausiano na watu wa aina hii utapata tabu sana.
 
DsmicSound

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,566
2,000
KAKA HUYO SIO MWANAMKE NI SHEITWAAN...NA BAKWATA HAWANA KOSA KUKUBALI MAOMBI YAKE YA TALAKA...KWA SABABU WANAKUEPUSHA NA SHARI ZA HUYO SHEITWAAN...

NA WAMEKUPA HAKI ZA HUYO MTOTO KWA YA UPUMBAVU WA HUYO SHEITWAAN...HEBU SIKU MOJA ANZISHA KAUGOMVI FULANI MCHOKONOE ZAIDI...HUENDA HATA HUYO MTOTO SIO WAKO...ALIVYO SHEITWAAN HASHINDWI KULOPOKA SIRI YAKE...
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,192
2,000
Wanawake bhna hapo mimi sijaona sababu ya msingi ya kuvunja ndoa kwa kweli huyo anaweza akawa amepata mtu mwingine hakuna jambo baya kama kulazimisha upendo ulio isha achana nae huyo kwani?? Bado anakunyima tendo la ndoa
Huyu atajmkuwa na mtu nje. Na upendo kahamishia huko moja kwa moja. So suala la ndoa kichwan kwake halipo. Kahamishia upendo wote huko.
Jamaa akubali tu, na vile mke ana kazi basi kibur kimejaa kama chote.

Amuache aende.. ila hiyo hali huisha, na ikiisha mke atasikia aib sana. Huwa wanataka kurudi.
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,192
2,000
Hutoa anapojisikia yeye ndio anaanza kuomba msamaha kwa ujinga anao fanya pale anapo ni nyima na Mimi nikikaa kimya muda mrefu bila kumuomba tunaishi Kama marafiki uzalendo ukimshinda ndio anakuja na machozi yaani nashindwa kujua shida yake hasa ni nini wakati mwingine naweza Sema marafiki zake pia humshauri ujinga kwanza marafiki zake wote wameachwa na mabwana zao naniwatu wazma wenyekumzidi umri Sanaa tu hao ndio hua wanawasiliana mara kwa mara nakutembeleana majumbani Jana nilikuta SMS ya rafiki akimshimikiza kuondoka chumba amesha mpatia.
Mkuu. Hao marafiki nao ni tatizo. Kuna msemo unasema, nionyeshe marafiki zako nikounyeshe tabia yako.
And yes aina ya marafiki alionao mkeo, ndio hao wanaharibu ndoa yako.

Sgida ya wanawake walioachwa , huwa na visasi na wanaume wengine ambao hawahusiki. Kwa hiyo huwashaur ujinga rafiki zao, ili wawaone waume zao wabaya.. hata kama ndoa imetulia. Ndoa ikishavunjika mwanamke atafurah watampongeza.. akishaanza kupata taabu. Wakamkimbia ndio huanza kujutia.
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,823
2,000
Hutoa anapojisikia yeye ndio anaanza kuomba msamaha kwa ujinga anao fanya pale anapo ni nyima na Mimi nikikaa kimya muda mrefu bila kumuomba tunaishi Kama marafiki uzalendo ukimshinda ndio anakuja na machozi yaani nashindwa kujua shida yake hasa ni nini wakati mwingine naweza Sema marafiki zake pia humshauri ujinga kwanza marafiki zake wote wameachwa na mabwana zao naniwatu wazma wenyekumzidi umri Sanaa tu hao ndio hua wanawasiliana mara kwa mara nakutembeleana majumbani Jana nilikuta SMS ya rafiki akimshimikiza kuondoka chumba amesha mpatia.
Jitahidi pia kupima afya upya kabla ya tendo la ndoa maana huyo sio wakwako peke ako OK.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom