cha muhimu kueleweka....uandishi unataka kumpa maksi?Aisee!
Uandishi gani sasa huo?
Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....
Tuna majanga mengi mno nchi hii!
cha muhimu kueleweka....uandishi unataka kumpa maksi?Aisee!
Uandishi gani sasa huo?
Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....
Tuna majanga mengi mno nchi hii!
Nani kakuita kuchangia ungenyamaza huko!!Mlipopeana hizo pesa ulikuja humu kutaka ushauri?
AsanteAiseeee..! Huyo mwanamke hakufai na kwa maelezo yako inaonyesha yy ndie mwenye sauti.
2M kala bado kaenda kuchukua na mkopo haitoshi kauza na thamani za ndani ww upo upo tu. .! Pole sana ila mzizi wa matatizo ni ww mwenyewe.
yaani we acha tu!!Kweli tunatofautiana! Na muda wa kuingia humu umeupata.....hii kwangu ilikuwa kesi tayari,nashukuru mungu sio mimi.
Binafsi nakushauri usithubutu kumwacha, jaribu kuwashirikisha ndugu Wa pande zote mbili niimani yangu mambo yatakaa saw a. Kikubwa usiache kupiga magoti kwa BWANA kuomba awape kibali cha amani na furaha katika ndoa yenu,Mungu ni mwema na mwaminifu hatokuacha katika hili lengo la shetani ni kuona ndoa yenu imevunjika . Kwa imani ya kikristo uwezi kumuacha mke kwa sababu yoyote ile isipokuwa kwa habari ya uasherati ( math 19:7-9). Ubarikiwe
Nimeelemewa sana hata nguvu ya kuomba sina neema ya Mungu initawale yaani??Binafsi nakushauri usithubutu kumwacha, jaribu kuwashirikisha ndugu Wa pande zote mbili niimani yangu mambo yatakaa saw a. Kikubwa usiache kupiga magoti kwa BWANA kuomba awape kibali cha amani na furaha katika ndoa yenu,Mungu ni mwema na mwaminifu hatokuacha katika hili lengo la shetani ni kuona ndoa yenu imevunjika . Kwa imani ya kikristo uwezi kumuacha mke kwa sababu yoyote ile isipokuwa kwa habari ya uasherati ( math 19:7-9). Ubarikiwe
Mimi binafs watoto wote ni wangu sijui wengine huko siwezi kuwajibiaHivi walinzi mna uhakika watoto ni wenu?
Ushauri mzuri asantePole.
Ila ulijua mkeo mfujaji (ndio udhaifu wake kwa nini ulimpa?????)
Maji yamekwisha mwagika.
Kikubwa hapa ni kupamban kiume.
Mkeo sio wa kumpa hela hata ya bajeti (kama maelezonyako ni yanukweli).
Wewe ni mlinzi.
Unaporudi asubuhi ukishapumzika tafuta kitu kingine cha kukuingizia pesa.
Unapoishi.kama.mazingira yanaruhusu mkeo afunge ubuyu mpike chapati uzeni mkaa nk (chini ya usimamizi wako wa hali ya juu katika pesa)
Jitahidi pia chakula mnunue kingi hata kama uwezo mdogo. Rejareja inaumiza.
Mnappishi kama mna kijieneo pandeni nyanya mahindi mbogamboga kwa ajili ya chakula na kuuza iki lpate senti...tena uzuri hamlipi kodi ya nyumba nyie
Stress zmemfanya asfate kanuni za uandsh, msamehen jmnAisee!
Uandishi gani sasa huo?
Hakuna koma, hakuna nukta, haijulikani sentensi imeanzia wapi na imeishia wapi....
Tuna majanga mengi mno nchi hii!
Haswaa unahitaj neema na Hekima ya Mungu, poleNimeelemewa sana hata nguvu ya kuomba sina neema ya Mungu initawale yaani??