Recent content by Merchante

  1. Merchante

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Ndio kama hivyo tunaweka mambo sawa.
  2. Merchante

    JamiiForums Tanzania Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Aiseee! Mapenzi yanaua.
  3. Merchante

    JamiiForums Tanzania Lissu aliona mbali: Leo Katuga anaiamba mahakama kuwa adhabu sio lazima kunyongwa, bali mahakama inaweza kutoa adhabu nyingine

    Ukisoma replies za Mboga Mboga humu ndani unaweza kudhani kwamba huwa wanaandika wakiwa wamekatwa vichwa. Yani kama kuna watu wanalipwa au kwa mapenzi yao binafsi wanafanya hii kazi ya kutetea maovu ya Mboga Mboga,basi kazi yao ni ya kipuuzi sana.
  4. Merchante

    JamiiForums Tanzania Jana nilikufa wakuu, cha ajabu leo asubuhi nimeamka, haikuwa ndoto

    Paole sana ndugu,je huko Peponj kukoje?
  5. Merchante

    JamiiForums Tanzania FIFA wameachia kikosi bora cha Kombe la Dunia 2026, una kionaje?

    Huyo Olise anatafuta nini hapo?
  6. Merchante

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

    Kuna kibopa kutoka Chamanj anampa jeuri.
  7. Merchante

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Kocha mpuuzi kaona timu imeshinda akapiga sub za kidwanzi. Camara, Jackson,yule Winga manywele zote sub za kipuuzi. Unamtoa Pape Gueye unamuweka Camara? Unamtoa Ndiaye unamuweka Manywele? Hili bara ni gumu sana wazee.
  8. Merchante

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Kocha kafanya Subs za kipuuzi,kumtoa Gueye na kumuingiza Camara sio sawa,kamatoa Ndiaye kamuingiza huyu boya anajiginga gonga tu.
  9. Merchante

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Telemans na Trossad kunani?
  10. Merchante

    JamiiForums Tanzania FT: Belgium 3-2 Senegal | World Cup 2026 | Lumen Field | 1 Julai, 2026 |5:00 Usiku

    Wakuu site gani naweza kuangalia hii game online?
  11. Merchante

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Mkuu usifikie hatua hiyo,hilo giza halitodumu,bado hatua chache sana za kufikia mwanga. Jambo la msingi,chapa kazi yoyote kwa nguvu zako,ukikosa kazi za watu fanya zako,hakuna jasho la mtu litaenda bure.
  12. Merchante

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Msakatonge Halali,Hakuna kukata tamaa.
  13. Merchante

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Wakuu mnawezaje kukata tamaa? Mimi huwa naona kila jambo linatokea/linakuja katika maisha ya mwanadamu kwa kusudi maalumu. Na kanuni ya maisha ni kwamba baada ya Kiza ni Nuru,baada ya Nuru basi Kiza hufuata. Ni kawaida tu ya maisha,ni kama majira ya mwaka au siku,so tunapokutana na mitihani...
  14. Merchante

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na uraibu wa pombe! Natubu 🙏🏽

    Pole sana Mzee,naielewa hiyo hali.
Back
Top Bottom