Recent content by MERCENARY2015

  1. MERCENARY2015

    Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Hapana Mkuu Bado Sijafanikiwa. Sent from my TECNO CG6j using JamiiForums mobile app
  2. MERCENARY2015

    Vijana 812 waliochaguliwa kujiunga katika Programu ya BBT-YIA awamu ya kwanza

    Safi sana. Vijana wapambane. Sent from my TECNO CG6j using JamiiForums mobile app
  3. MERCENARY2015

    Hamorapa afanikiwa kumaliza digrii yake ya tatu kutoka Mzumbe University

    Hongera sana kwake Sent from my TECNO CG6j using JamiiForums mobile app
  4. MERCENARY2015

    Ningependa kujua Ada ya Shule hizi za Sekondari

    Hii ni matokeo ya ufaulu kwa GPA CSEE kwa Mwaka 2022.
  5. MERCENARY2015

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kujiunga na mafunzo ya ualimu kwa ngazi ya cheti na stashahada

    Kwa mimi navyofahamu ni lazima: 1. Uwe na Division 1 hadi division 3 ya 25 zaidi ya hapo huwezi ku apply 2. Ufaulu kwa masomo ni D. Mfano kama unaenda kusoma PHYSICS AND CHEMISTRY (PCE) ni lazima uwe na DD kwa masomo yote tajwa.
  6. MERCENARY2015

    Je, vyeti tunavyoweka kwenye ajira portal lazima vihakikiwe na mwanasheria?

    Ni lazima vihakikiwe Mkuu. Maana Kuna Ajira nili apply wakanikatalia reason ni "CERTIFICATE NOT VERFIED"
  7. MERCENARY2015

    Ushauri Juu ya Hatima ya maisha yangu

    Kaka mvumilie atarudi tu, mshakuwa mwili mmoja tayari. Uvumilivu muhimu.
  8. MERCENARY2015

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    KONTAWA FT NAY WA MITEGO - CHAMPION
  9. MERCENARY2015

    Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

    Salamu Ndugu, Naomba kuuliza Hizo bajaji zote ni za kwako? Je kama umewapa vijana, mkataba unasema Je katika issue nzima ya matengenezo/ukarabati wa Bajaji? Asante.
  10. MERCENARY2015

    Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

    Asante sana kwa uchambuzi wako mkuu.
  11. MERCENARY2015

    Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

    Asante sana kaka kwa maelezo yako. Nadhani umeelezea zaidi kwa kadri biashara inavyo tofautiana. Kufuga kwangu na kuuza ilikuwa kwa Mara ya kwanza. Biashara ukifanya kwa Mara ya kwanza na kunielewa unaelewa mengi zaidi na nimejifunza mengi sana.
  12. MERCENARY2015

    Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

    Haha ndio Kaka, Kupanga ni kuchagua tu.
  13. MERCENARY2015

    Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

    Hiyo inawezekana kabisa mkuu, kutoka soko moja kwenda jingine. Watu wenye mtaji mkubwa ndo huwa wanafanya biashara hii ya kununua Tanzania na kwenda kuuza masoko ya Jirani nchini Kenya ambapo Kuna uhitaji mkubwa zaidi.
  14. MERCENARY2015

    Nilivyopata faida ya 800k kwa Biashara ya Kondoo

    Salamu Wakuu wa Jukwaa. Mimi ni moja ya wafanyakazi katika Taasisi wilaya Ya Ngorongoro Mkoani Arusha, mahala nilipo ajiriwa ni karibu sana na Kenya almost kilomita 20 kuingia nchi Jirani. Huku kabila kubwa ni Wamasai. Mwaka jana mwezi wa 8 Nilipata wazo la kuanzisha biashara hii hasa kutokana...
Back
Top Bottom