Recent content by Mercator

  1. Mercator

    JamiiForums Tanzania VIWANJA,MASHAMBA NA NYUMBA ZINAUZWA CHANIKA

    Viwanja vinauzwa Chanika ukubwa futi 45 kwa 42 bei milioni moja na laki tano pia mashamba yapo bei kuanzia milioni kumi vilevile kuna nyumba zinauzwa kuna ya milioni kumi na sita,milioni kumi na nane,milioni ishirini kwa mawasiliano piga 0718239997
  2. Mercator

    JamiiForums Tanzania Mrema ana tatizo gani wakuu? Afya yake imedhoofu sana

    Hata lowassa hajawahi kuwa Chadema ni zao la ccm
  3. Mercator

    JamiiForums Tanzania Huyu nabii George Kairuki ni nani?

    Nabii anajipiga mkorogo
  4. Mercator

    JamiiForums Tanzania Msaada wakala wa kuuza viwanja

    Weka mawasiliano mkuu mimi nawafahamu
  5. Mercator

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada; mwenye uwezo nimuuzie kiwanja kwa gharama nafuu.

    Mimi nipo Chanika hukuhuku nielekeze vizuri nikuletee mteja
  6. Mercator

    JamiiForums Tanzania Kwa anayemjua mtanzania huyu, amekamatwa Pakistani

    Mbona anafanana na shekh Ponda
  7. Mercator

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani zinaweza kurudisha mood yako sawa unapokuwa na msongo wa Mawazo? Your Inspiration songs?

    Kwangu mm So sick-Ne_yo La isla bonita-Madonna Viva Forever-spice Girls Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
  8. Mercator

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo mpya wa AY unamaanisha nini?

    El chapo nikispain ila kwa kiswahili maana yake ni mtu mfupi
  9. Mercator

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa mzuki wa injili nchini Tanzania hivi sasa.

    Goodluck Gozbert kwangu mimi ndo namba moko
  10. Mercator

    JamiiForums Tanzania Movies, Movies , Series, vitabu, na Documentary

    The Hardway
  11. Mercator

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa MaDJ wa kutafsiri movie anayekuvutia?

    DJ mack kukungwendu wazabanga a.k.a jogoo yuko juu kuliko hao wengine kwanza anaijua lugha pili anajua kuelezea historia ya movie mfano itafute Avatar au Collate Damage ya Arnold shwarzeneger
  12. Mercator

    JamiiForums Tanzania Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne.. Bongo hakutakuwa na muvi kama hizi tena

    Kuna nyingine kama Kihongwe,Wasiwasi,Kifo haramu,Shamba la madawa ya kulevya,Game of love,Kazibure village na n.k
  13. Mercator

    JamiiForums Tanzania Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne.. Bongo hakutakuwa na muvi kama hizi tena

    Movie inaitwa Safari ilikuwa inamzungumzia mtu na Dada yake Chiku na Kapiri
  14. Mercator

    JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kuhusu tukio hili

    Story imenigusa
Back
Top Bottom