Nyimbo gani zinaweza kurudisha mood yako sawa unapokuwa na msongo wa Mawazo? Your Inspiration songs?

Mbona asilimia kubwa naona za nje tu? au hawa vijana wetu tunawapenda pale tu wanapokuwa na uwezo wa kuitwa timu fulani au huwa hawana kazi za kutupa faraja katika maisha??
 
Dash mimi kiukweli huwa nikisikiliza old school/ flash back huwa Moyo wangu unaka a vizur sana
 
Loving can hurt sometimes...

The Gambler
Listen to the Radio
Am still looking for you
Coward of the country
It must be love
 
Imebaki story by richi mavoko
Bora uende alomaize
Fanya yako nifanye yangub by jahazi morden taharabu kaimba Leila atibu
Narudii!
 
Yeah naufahamu mpendwa

Nimetoka mbali hadi hapa nilipo,
Si kazi rahisi eeh, si kazi rahisi.
Nikitafakari hivi nilivyo,
Haikuwa rahisi eeh haikuwa rahisi,
Pamoja na ugumu, Mungu ulinishikilia,
nisirudi nyuma
Sikuhofu nilidumu, huku ukinishikilia,
nisikate tamaa, eeh Mungu wewe.

Wewe umekuwa ushindi wangu,
Wewe umekuwa tumaini langu,
Wewe umekuwa ushindi wangu,
Wewe wewe wewe
Uko vizuri mpendwa.
 
Kwanini diamond platnumz
Mawazo diamond plantnumz
Binadamu wabaya mondi
Nitarejea

lala salama
Ukimuona
Made for you banky w
Single boy ali kiba
Tabia iddi aziz
Kilomita sita chris wa malya
 
instrument ya wimbo wa shanice ....love ua smile huwaga inanifikisha mbali sana kihisia sijui kwa nini.Nikiwa down au nikiwa nameditate huwa napenda sn kuckia hii nyimbo
 
nimescreen shot iyo menu niipakue taratibu but apo free soul tuko pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom