Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne.. Bongo hakutakuwa na muvi kama hizi tena

nawaheshimu sana hawa majamaa SULTAN TAMBA na MUSSA BANZI aisee nikiskia sultan tamba tu baaaas najua hiyo muvi ni yakutisha bila ubishi jamaa yuko vizuri sana. [HASHTAG]#MamaYanguAnakulaNyamaZaWatu[/HASHTAG] [HASHTAG]#PETE[/HASHTAG] [HASHTAG]#JINAMIZI[/HASHTAG] [HASHTAG]#MzimuWaMLILO[/HASHTAG] [HASHTAG]#MZEEWABUSARA[/HASHTAG]

#KIHONGWE_NGUVU_ZA_GIZA
 
Kuna izi kaburi la safia,Mzimu wa mlilo,chite ukahe dah kwa jiran palikuwa hapatoshi
Umeiba post yangu hizi ndo muvi bora kuliko zote zimewa kuchezwa bongo na haitakuja kuchezwa hadi mungu anakusanya haya mavumbi yake hata hao waliocheza hizo baadhi yao walishindwa kumalizia part to kama chite ukae na mzim wa mzee mlilo na waliojarib walifel kwenye continuty na location casting na direction
 
Kuna nyingine kama Kihongwe,Wasiwasi,Kifo haramu,Shamba la madawa ya kulevya,Game of love,Kazibure village na n.k
 
Za kawaida tu,, sema nyakat zile zilionekana ni bora
Ukitazama kwa jinsi teknologia ilivyokuwa leo itaziona ni za kawaida tu. Ila kwa kipindi kile zilikuwa ktk ubora na utaalam wa hali ya juu. Ila return of Nsyuka walizingua, teknologia ilishakuwa ila wao wakaendelea na ile teknologia ya zamani. Mfano ulemavu wa mguu, mguu unafungwa kwa nyuma huku mhusika akivaa suruali pana pana
 
Shumileta naikubali sana, kipindi hicho tulikuwa tunaangalia kwenye vibanda vya kulipia...
Sh 50/= muvi 2...
 
sasa hivi wanavaa midoli usoni...inayouzwa manzese ile yenye sura za kutisha halafu wanaipaka tomato.

sasa movie yenyewe ukute ndo ile ya kukimbizana msitu wa mabwe pande...utachoka!
 
Daa naipenda sana Ile movie ya safari ya zamani sijui wameact pangoni kuna chiku na kaka ake sijui aitwa nani yule kaka
....badae baada ya kaka yke kufanikiwa, chiku akamuua kwa kumuwekea sumu kwnye chai...si ndo hii chief!!?

Kitambo sana,
 
Back
Top Bottom