Recent content by Menyous

  1. M

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    Na mimi nimeona hiyo LEGE, swali langu ni huko hospital alienda mara ngapi? Maana kuna tweets ambazo zinaashiria alikuwa hospital ndani ya hizi siku tano, what was she surfering from? She suspected death coming her way (from her tweets), was she seeing it coming from haters (like kutekwa na...
  2. M

    Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

    This is disgusting!!! Chumvini kwa mfanyabiashara ya mwili!!! Kha!!!! Kidogo nitapike!!!!
  3. M

    Daraja la Ruvu halipitiki sababu ya maji ya Mvua - Magari ya Mikoani yakwama

    any updates jamani? kuna magari yoyote yaliyoruhusiwa? ni aina gani?
  4. M

    Hivi naweza kuwa na UKIMWI kweli

    acha uoga!! zingatia kanuni za afya njema, kula vitu vyenye faida mwilini mwako, acha pombe/vitu vitavyochosha viungo vya mwili wako unnecessarily,
  5. M

    Ndala za kidoti Jokate

    labda ndio masharti aliyopewa na "viongozi" wake wa "kiroho"!! mjini kuna mengi!!
  6. M

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    RIP Kenneth Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  7. M

    Mhudumu wa Mochuari "amchimba mkwara" waziri

    Hawa watu (wahudumu wa mortuary) huwa vichwa vyao havipo vizuri. They care less!! Wana-guts sana! Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  8. M

    Marriage for revenge

    Unless otherwise muwe mmefunga ndoa ya kiislamu, ila kama ni ya kikristo, nafasi nzuri ilikuwa kumkana kanisani, (kumuonyesha inaumaje kukanwa na mwenzio). Ulikubali kufunga hilo agano na umefunga na Mungu kwa ridhaa yako mwenyewe. Usilifanyie utani. Sasa hivi pia yaweza kuwa muda wako wa kuvuna...
  9. M

    Marriage for revenge

    Kama una hulka ya kuwanyanyasa na kuwafanyia vitimbi vya ajabu na udhalilishaji na kucheza na hisia zao kama mume wa huyo dada mtoa thread, basa hata mimi nakushauri, NEVER TRUST A WOMAN!! Ila kama huna hizo tabia mbofu mbofu, JUST BE AT PEACE WITH THEM. Sent from my BlackBerry 9810 using...
  10. M

    hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

    Mshukuru Mungu ulimshtukia mapema. wengine ni majini wametumwa na waganga!! kama sio wagonjwa!!
  11. M

    my fiance's hooker is coming my way...msaada pliiiiiz!!!

    Mmm hilo jina lako...! Mara ya kwanza kuliskia nlifafanuliwa kuwa "ibilisi" ndio "fallen angel" maana yeye ndiye malaika aliyeangukaga (ofcourse na malaika wengine wengi lakini yeye ndio alikuwa kiongozi wao). Alianguka baada ya kitaka kuabudiwa yeye badala ya Mungu. Yawezekama hujui maana yake...
  12. M

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Sababu walishaona gap kubwa ya tabia na hulka kati ya wawili hao. Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
  13. M

    Nakimbia ndoa-Naogopa kuua

    Listen, kuwa karibu na Mungu wako, punguza ukaribu na mkeo kuminimize chances za mauzi. Epuka kushinda nyumbani wakati yupo. Tafuta shughuli yoyote ya maendeleo ya jamii ushiriki. Usiue, utawatesa watoto bila sababu za msingi na pia dhambi za huyo umuuaye zitakuwa juu yako. Sent from my...
  14. M

    Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

    May The LORD God give your soul and Eternal Peaceful Rest Dr. E S Mvungi. Damu yako na iwe juu ya waliyoshiriki kuimwaga, Hukumu ya Mungu Ikawe juu yao!! Faraja ya Mungu Ikawe na mkeo, watoto wako, ndugu zako na wale wote waliougua mioyo yao kwa uchungu wa kukupoteza. Pumzika kwa Amani baba...
Back
Top Bottom