Ndala za kidoti Jokate

Ndala za kidoti Jokate

kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi

wewe ndo mkuu wa mamburula wote duniani.
 
Acheni ujinga,huyo kabuni kwanini nye msibuni,mbona daily mnavaa nguo zilizoandikwa mabango,au nguo za kivyama,isitoshe mpaka pamba zenye picha za watu wa nje mnatinga,angekuja na nyingine mngemponda tu,hamna lolote wabongo ndo mlivyo,wenyewe hamjabuni vyeni mnawakatisha tamaa watu wanaopiga hatua
 
Kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi

Usitumie vivutio vya baishara na real life mkuu! Kuna wengine picha zao ziko kwenye chu.pi tena pale mbele kabisaa nao tuwaitaje?
 
Kweli kabisa yani ukanyangwe !haina tafsiri nzuri kwenye ulimwengu wa roho

....naunga mkono hapo kwa 98.9% bidhaa ni nzuri...ila sura kwenye kikanyagio si nzuri sana

pongezi zimfikie kwa kuchakarika! ..wengine basi waige mambo mazuri kama hayo ya kujituma kutafuta, na si mambo mengine yanayotia aibu hata kuyasema
 
Ndala zake sura yakee mi naona ni kama ndala tu hizi zinginee ila afadhali yeyee kuliko Wema hafikirii hata kutengeneza shanga za kiunonii
 
Gud n gud joketi
Fursa ni popote
Ni mjasiriamali.
.
Mbona vitu vingi tunatumia vina picha za watu na hatulalamiki?? Au kwa kuwa ni wazungu?
Angefanya uhuni tungemsema.
Acpowekeza nayo mane no..
tubadilike aendelea kutoa product nyingine
 
Embu jifikirie kabla hujaandika comment, mawazo kila mtu anayo, kama wewe unakaa hovyo unashindwa kutoka na mawazo ya kibiashara waache wenzio wabuni mawazo, mbona ndala ni kitu cha kawaida sana, anachojaribu kufanya ni issue Kwenye biashara tunaita mechandise...beckham na umaarufu wake alitengeneza kondomu za kut0mbea sembuse jokate alietengeneza ndala za kike....wivu wa ajabu tu umekujaa kwa mawazo yako na watanzania wanaowaza kama wewe tutaendelea kuwa taifa duni sana, sio kiuchumi tu hata kifikra.

kWA HIVYO WEYE NDO UMEFIKIRI SAANA TU. KUBUNI PICHA KWENYE NDALA ZA KIKE. POLENI
 
Back
Top Bottom