Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

1: hakuna mtu yeyote (s/he) anayependa condom
2: wanawake wa kawaida (wasio kibiashara) making love to them ni kitu kinachoinvolve emotions unlike wanaume sometimes ambao kwao ni hitaji la mwili tu.
3: sidhani kama mwanaume anapovaa condom humwambia au humfanya mwanamke ajione kuwa analindwa/protected zaidi wanaonesha wao wanajiprotect against mwanamke. Laiti kama wangejadiliana vizuri na kuoneshana kuwa ni for their own good nafikiri wanawake wangekuwa at easy!

Mfano mzuri ni pale wanapoepuka mimba; hapo hutumia vizuri bila mmoja kumuona mwenzie kuwa ni ugonjwa/kifo. Ni role ya kina baba kupractise matangazo ya salama; matumizi ya condom yaoneshe ni kwa ajili ya kumlinda zaidi ya kujilinda wewe! Walioko kwenye biashara have huge control ya emotions zao, kwani siku zote wanakuwa regarded as b.tches.

Ni mtazamo wangu tu!
 
1: hakuna mtu yeyote (s/he) anayependa condom!
Umejuaje?

Haya ndio matatizo ya Watanzania kwenye kuwasiliana. Unatuongelea wote, umefanya survey ukatuuliza dunia nzima? Wote hatupendi condom, umejuaje?
 
Umejuaje?

Haya ndio matatizo ya Watanzania kwenye kuwasiliana. Unatuongelea wote, umefanya survey ukatuuliza dunia nzima? Wote hatupendi condom, umejuaje?

Is condom a natural thing? Nipe sababu (beside protection n contraceptive measure) ambayo mtu anapenda kutumia condom!

Tunalazimika kutumia or rather kuzihitaji!
 
Salaaam JF Members!,
Katika hangaika yangu, nimeshakutana na wadada kama wa nne hivi kwa nyakati tofauti, ambao katika hatua za kufanya mapenzi, walikuwa wananing'ang'aniza nisivae condom!!. Hivi ni nini mzizi wa hulka hii kwa wanawake. Kwa kuwa hata wengine waliokubali kun aambao nilikuja kuuza mechi baadae lakini ninaekumbuka kuwa aliresist ni mmoja, na sababu aliyoitoa ni kuwa yuko kwenye siku za hatar. Hivi wanawake hawaogopi ukimwi???? Au ndo kusema wengi wana UKIMWI so wanataka kuambukiza wengine?


baada ya kuwachakachua hawa mabinti za watu khali ya vvu kwako sasa ikoje? umepimwa?
 
baada ya kuwachakachua hawa mabinti za watu khali ya vvu kwako sasa ikoje? umepimwa?

Mimi nimepimwa, na majibu yangu ninayo.
Na Katika hili suala, Let it not happen, ukakutana na mke wa mtu, ndo huwa hawataki kabisa condom!!!! Ni hatar tupu kwa wanandoa!!
 
Hivi kuna wa2 wa aina hii dunia ya leo?wenzio tunatafuta pesa wewe unatafuta kifo Looooooh..

Hivi akili yako iko sawa kweli! Nchi yetu itajengwa kwa aina hii ya watu jamani...Loo we kijana mkosa haya unasikitisha sana pia unatia aibu !

Natamani nikutusi ila....kwanza nina wasiwasi inawezekana wewe ndiye mwenye vvu na unasambaza kwa mabinti maskini ya Mungu ambao ni wadogo kiumri ambao hawana say yeyote,Halafu unakuja kutudanganya eti wanawake hawapendi condom kuna mtu asiyependa kuishi kweli?....acha hizo pia KUWA MAKINI NA MATENDO NA KAULI ZAKO, Huna haya wala hujua mabaya! Unafikiri sifa eeeeh..

Pia nina mashaka na age yako, kama ni mtoto bac nakusamehe koz i know ukikua utaacha..ILA kama ni mtu mzima nitafute nikupe ushauri wa bure! Badilika hayo ufanyayo siyo kabisa. Mwone kwanza hovyooooooooooooooooooo.......

By reading these words, i can see some thing wrong is going on in your mind!!!, This could be as a result of your previous experience or what you are undergoing right now actually in relation to my post!!
So, Please PM me, i will have something to help you get out from that situation. Hakika nakuhakikishia una tatizo wewe, Ni PM nikusaidie!!! Nitakupa namba yangu ya simu uje unione ofisini. Mimi sikulaumu, huwa ni kawaida tu!!!
 
ahahaaaa kuna rafiki yangu mmoja anasema kondom ni sumu tena anaipiga vita kwa nguvu zote
 
Kuna watu hawaamini kama kuna ngoma au ngona inaua. Nakumbuka nikiwa chuo jamaa zangu watatu walikuwa wanachukua mademu jol na mitaa ya ohio wanapiga kavu(wanadai wameilainisha kwa kuingia chumvini so imelainika no ngoma) ni miaka 7 sasa sijui wako wap ngoja nitawatafuta kama wapo hai.

This is disgusting!!! Chumvini kwa mfanyabiashara ya mwili!!! Kha!!!! Kidogo nitapike!!!!
 
Back
Top Bottom