sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
Unaweza kuwa sahihi au na unaweza kutokuwa sahihi!Uko sahihi kwa sababu wewe ndo mwenye maamuzi na mwili wako!Unaweza husiwe sahihi kwa sababu hujatwambia nia ya mahusiano yenu ilikuwa ni nini?Alipokutongoza kwenye hiyo second date ukamkubalia alisema anahitaji nini?Wapo wanaume wako straight kabisa toka day 1 anataka yeye mgegedo,kama ulikubali na umeendelea kumzingua eti sijui yupo after sex umekosea,hujijui,ndiyo yuko after sex sababu ndo alichokuomba alipokutongoza na wewe ukamkubalia!Wewe ndo mwenye tatizo,toka siku ya 1 mnapotongozwa anapokwambia amekupenda anaomba mgegedo,kataa,sio baadaye uanze kumzungusha.