Recent content by Mendez tk

  1. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

    Sioni wakizungumzia kupima watu kwa kipimo kipya au hawapimi
  2. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huwezi kutengeneza ajira milioni nane bila viwanda, itakuwa ni ndoto

    Million nane mbona Nyingi Mpaka sasa ametengeneza ngapi.
  3. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Ndugai alikuwa Tetele sasa kawa Njiwa Manga

    Mbovu mbovu mbovu
  4. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Mbunge Taletale: Rais Magufuli nakushukuru kwa kunitoa chini kabisa na kunifikisha juu nikiwa kijana mdogo kabisa bungeni

    Ndio maana mnaongea yasioeleweka bungeni Kumbe ulipelekwa pelekwa na mwenyikiti.
  5. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke, chunguza kampuni ya Wachina inayojenga Mtaro Mkubwa wa Maji ya mvua

    Mkuu amekusikia uzuri serikali Hii ni sikivu
  6. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Anaishi na mume mwizi, akidhani anafanya kazi bandarini

    We nae mbeya
  7. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya: Mimi ndiye kipenzi cha Wana Bunda

    Anajifariji tu nakujikosha Hivi akiulizwa yeye ni mbunge wa chama gani atajibu nini?
  8. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei: Wizara za Kilimo na Viwanda kupewa 6% ya bajeti will never work. Ukusanyaji mapato ni mdogo, au huenda GDP ya Tanzania iko overstated

    Kimei ni msomi anayetumia taaluma kwa jamii, Tatizo anaongea mbele ya spika na Wabunge hawa hawa kina taletale na baba gwaji ma
  9. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

    Kazi ya vyuo ni kutoa connection tuu
  10. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Sakata la Corona: BBC acheni unafiki, heko (KM) Wizara ya Afya, Prof. Mchembe kwa nyundo yako jana

    Sasa mtengeneze chanjo na kipimo chenu.
  11. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Tatizo vipimo ni ghali Sana tungepimwa wote ingesaidia Tatizo viongozi wengi walafi wanaacha kujikata mishahara yao tukapimwa corona Angalau
  12. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Pale mtu anapokosa utu: Ipo wapi busara na hekima ya Mwanadamu?

    Wengine hatujawahi kuiona inapatikana wapi? tuone Angalau ndio nichangie
  13. Mendez tk

    JamiiForums Tanzania Nimehamia kwenye nyumba yangu bila kuizindika

    Watakulaza juu ya paa ndio utaelewa
Back
Top Bottom