Esther Bulaya: Mimi ndiye kipenzi cha Wana Bunda

Jamaa anaitwa ester be serious
 
Bulaya na 18 wenzako mshakwisha kisiasa,2025 mnaenda kuungana na wazee wenzenu kina Lytonga Mrema,Shibuda,Cheyo etc
 
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni lini serikali itamalizia kupeleka maji kutoka Ziwa Victoria katika kata kumi na nne (14) ambazo zimebaki.

Akionesha kushangazwa na kauli hiyo, Mh. Naibu Spika, Tulia Ackson akamuuliza Mh. Bulaya yeye ndie kweli kipenzi cha wana Bunda au Mbunge wa sasa wa jimbo hilo?

My Take:
Naona jamaa wanaitumia vyema nafasi yao kuwepo bungeni kwa kujitafutia uhalali waendelee kuwarubuni wananchi wa majimbo yao, kwangu huu ni sawa na utapeli.
Huyu ni snitch na mara nyingi watu kama USA hua wanapigwa risasi
 
Mh.Bulaya kafanya vema kutumia fursa kuwatetea Watanzania wa Bunda.Natumai ataomba media kipande cha hutuba yake awatumie wadau.

Labda awatumie wanaccm.
 
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni lini serikali itamalizia kupeleka maji kutoka Ziwa Victoria katika kata kumi na nne (14) ambazo zimebaki.

Akionesha kushangazwa na kauli hiyo, Mh. Naibu Spika, Tulia Ackson akamuuliza Mh. Bulaya yeye ndie kweli kipenzi cha wana Bunda au Mbunge wa sasa wa jimbo hilo?

My Take:

Naona jamaa wanaitumia vyema nafasi yao kuwepo bungeni kwa kujitafutia uhalali waendelee kuwarubuni wananchi wa majimbo yao, kwangu huu ni sawa na utapeli.
Hata miaka 5 yote ya Kipindi cha Kwanza cha Awamu ya Tano, Wabunge wote wa Upinzani walikuwa the BEST in every aspect. We will miss them all and their wisdom!
 
Kipenzi cha Bashiru Ally hicho, ila anafaidi kwani Bulaya ni mrembo.
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni lini serikali itamalizia kupeleka maji kutoka Ziwa Victoria katika kata kumi na nne (14) ambazo zimebaki.

Akionesha kushangazwa na kauli hiyo, Mh. Naibu Spika, Tulia Ackson akamuuliza Mh. Bulaya yeye ndie kweli kipenzi cha wana Bunda au Mbunge wa sasa wa jimbo hilo?

My Take:
Naona jamaa wanaitumia vyema nafasi yao kuwepo bungeni kwa kujitafutia uhalali waendelee kuwarubuni wananchi wa majimbo yao, kwangu huu ni sawa na utapeli.
 
Anajifariji tu nakujikosha Hivi akiulizwa yeye ni mbunge wa chama gani atajibu nini?
 
Tulia naye anamnanga kada mwenzake wa CCM au wanafikiri hatufahamu kuwa wameshaunga juhudi?
 
naona kila mtu anapambana na jimbo lake kuna majimbo yana bahati maana yana wabunge wawili
 
Tatizo ni nani hapo!
Tatizo ni aliyemnunua na kumpeleka dodoma ili ionekane kuna upinzani wa kutengeneza. Tena yule ambaye anajiapiza kwamba atawalinda kwa gharama zozote wakati mwaka jana alikuwa anawafurusha bungeni!
 
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni lini serikali itamalizia kupeleka maji kutoka Ziwa Victoria katika kata kumi na nne (14) ambazo zimebaki.

Akionesha kushangazwa na kauli hiyo, Mh. Naibu Spika, Tulia Ackson akamuuliza Mh. Bulaya yeye ndie kweli kipenzi cha wana Bunda au Mbunge wa sasa wa jimbo hilo?

My Take:

Naona jamaa wanaitumia vyema nafasi yao kuwepo bungeni kwa kujitafutia uhalali waendelee kuwarubuni wananchi wa majimbo yao, kwangu huu ni sawa na utapeli.
Na mumewe naye anasemaje maana wote wanakubaliki sana kwenye majimbo yao?
 
Back
Top Bottom