Recent content by melting Lava

  1. M

    Mwigulu hata hili la uvamizi wa mkutano wa CUF nalo utanyamaza?

    Well said Chakaza, Lameck alikuwa mtendaji mzuri sana tangu akiwa naibu waziri Wa Fedha hadi waziri Wa kilimo na mifugo, lakin sielewi nn kimempata sasa
  2. M

    Zitto: Nilitonywa kuna mpango wa watu saba kutekwa wakiwamo Mimi na mawaziri watatu...

    There best be a something behind the screen! Kuna kaukweli flan, iweje Mh Mbashe aongelee hiyo issue then Zito naye aiongelee? Iko shida sehem
  3. M

    Tundu Lissu, ni aibu jamani

    Smart clothes can no be like Smart Brains Bibi Faiza Foxy, GA Werema aliwahi kumwambia Lisu kuwa hajui kufunga tai, then Lisu akamjibu ni kweli hajui kuvaa vizuri lkn yeye(Werema) he Zero in his brain!!! Bibi njoo nursery tuimbe wote;
  4. M

    Natafuta kazi ya uuguzi

    Mkuu sometimes be serious,!! Huyo mtu yuko serious anahitaji Kazi,! Na amekuambia hospital yoyote, na siyo nyumban Kwa mtu, he, huyu jiran yako yuko home or ?
  5. M

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Wish you long life Nape, you're the Hero ! Maisha siyo Uwari
  6. M

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Mkuu uko sawa kabisa, yaani sijamwelewa kabisa huyu Kalimanzila,; anataka kutuaminisha kuwa; Drugs Dealers ndo wamesuka mpango Bashite apate Zero kwenye masomo yake!?? Ndo walimtuma akavamie studio ya clouds usiku? Ndo walimtuma ampige makofi Mzee Joseph Warioba?!!? Tuwe wakweli tu huyu Bashite...
  7. M

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Yap , mm niko naicheki, ameanza kuzungumzia malkia wa Nguvu, ngoja tuone atasemeje kuhusu uvamizi Wa Daudi Basheti
  8. M

    Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

    Please, jitambue wewe Kwanza, hujanijibu unachokitafuta! Wale brilliant Advocates waliamua kisomi zaidi Jana, ....
  9. M

    Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

    Mawikili wote ( hasa members Wa TLS) ni wasomi kinoma, sorry hivi wewe ni " miss natafuta" nn ? Elimu, mambuzi, au wachumba? Na walakini na Elimu yako!!!
  10. M

    Polepole usidanganye umma kuwa CCM haijawahi kuchukua mali za umma na kujimilikisha

    Mkuu uko sawa kabisa, ccm walinyanganya Mali za umma kijanja kijanja. Nakumbuka kuna uwanja mmoja ulijengwa 1984, mchango ulikuwa ni lzm Kwa kila MTU, haijalishi we ni mwanaccm au la!
  11. M

    Sophia Simba: Nitabaki kuwa mkereketwa mwaminifu wa chama cha mapinduzi

    Sijamwelewa huyo mama kabisa, sasa anakuaje mkereketwa wakati ametumbuliwa? Au atajisajili upya
  12. M

    Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

    Fafanua Mkuu,wateteaje labda? Na kuna uhusiano gani kati Manji na Chadema?
  13. M

    RC Makonda na Mrisho Gambo wajifunze kwa RC Shamshama na Dr Kleruu, uongozi wa visasi haulipi

    Hiyo article yako ni somo tosha kama watasikia Mkuu, kitaeleweka soon maadam mhimili mwingine nao umeshtuka kuwa unaingiliwa
Back
Top Bottom