Recent content by Melkiard Arthur

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

    No, Afisa wa Rank ya General hawezi kuwa ADC. Afisa wa rank ya Kanali tu ndo anaweza kuwa ADC
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof. Chibunda kuwa Makamu Mkuu chuo cha SUA

    though ni Uzi wa kitambo, ndo nmeona now! si vibaya kusema nafkiri kuna kitu hakikuwa Sawa! charter za vyuo vingi naona VCs wanateuliwa na Chancellors, so ni ajabu Kwa huyu wa SUA kuteuliwa na President
  3. M

    JamiiForums Tanzania Unstable President leads to Unstable Country

    easy pls
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuomba advanced diploma baada ya kukosa degree

    Nkusaidie navyoelewa mimi kama kweli una maanisha na sio kutuchora. 1. Advance Diploma ni equivalent to Bachelor Degree, hvyo huwez sema uchukue one of those kwa kukosa the other; ila tu cku hizi hamna Chuo kinahotoa Advance Diploma 2. Kuna Taasisi/Vyuo vilivyosajiliwa na na NACTE na kutoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Top Universities in Tanzania and in Africa

    naona watu humu kila mmoja anataka kusifia Chuo alichosoma na kuponda vingine! let's argue or comment as intellectuals!! binafsi sijaelewa vigezo dhahiri vilivyotumika na hiyo site!!! na nikijarbu kufukunyua nakuta some of their data za vigezo haziko 100% valid! so I personally doubt these...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    wakuu PUTS 2.1 ni sh ngapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

    Nmewahi kuskia weusi wa Fiji walitokea Ethiopia, hata ukiwacheck blacks wa Fiji na Ethiopia wanafanana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Salute za kijeshi duniani

    Ahksante mleta Uzi, topic yako very fantastic Ila naongezea tu Pia Kuna ile ambayo ipo common wealth Maana Sie tunazitumia! endapo askari wa chini hajavaaa kofia, hata akiwa kiraia anabana mikono kwa ukakamavu, na endapo Ana salute to very high officer atapiga na miguu chini!! lakini Pia Kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal Kutwaa EUROPA

    unahaidi vtu usivyoweza kufanya, Maaa jamaa wanachukua for real
  10. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal Kutwaa EUROPA

    Arsenal iwe isiwe lazima watwae EUROPA Msimu huu, vinginevyo CL wataisikia Redioni.
Back
Top Bottom