Kwa sababu lengo la jf, Zaidi ya kuhabarishana, ni kuelimishana na ikibidi hata kusaidiana, mimi kwa vile mwanzo nilikuwa ni muhabarishaji, sasa ni muelimishaji, nikielekea kwenye msaidiaji.
Kwenye journalism kuna somo la PR, hatua kuu ya kwanza ya PR kwenye crisis situation ni appreciating the situation.
Tanzania tuko kwenye crisis ya kweli, mtu asiyefit yuko kwenye Ikulu yetu, sasa wengi wetu humu kazi yao ni kunyoosha tuu vidole, pointing fingers "unfit to be in the state house person!!!", na kusisitiza tuu hakupaswa kuwepo pale!, hivyo mnachofanya ku deny his presence there kwa ku wish hayupo!. Ninachofanya mimi ni appreciation the situation kuwa mtu huyu yupo, no matter how unfit he is, lakini ndiye yeye aliyepo kwenye Ikulu yetu, umpende usimpende, umkubali usimkubali, its never gonna change a thing, yupo ana exist!. Mimi naukubali uwepo wake na nimeshauri how to go about it.
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!
P.