Recent content by Meja mstaafu

  1. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Ni nini tofauti ya DPM na Dpc?
  2. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro; Pacha amuua Pacha mwenzake kwa kumchoma visu sehemu za Siri

    Hawa wachaga ni watu katili sana.
  3. Meja mstaafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji; Mimi naongea na Kaka yako nikiwa sina nguo, tuone atamsikiliza nani

    Mungu amrehemu.
  4. Meja mstaafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji; Mimi naongea na Kaka yako nikiwa sina nguo, tuone atamsikiliza nani

    Vp Kwa sasa mahusiano na huyo shemeji Yako.
  5. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Kweli kabisa
  6. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Eti eeh
  7. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Wanaojua mpira walisema toka siku ya kwanza amefika..
  8. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Kibwana Shomari bado ni beki mzuri na mbishi hasa

    Hamna mchezaji pale, wewe subiri siku akutane na winga teleza ndio utakua.
  9. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Ninatumia window 8.2 Exel hazionekani naweza kuipata vipi ndugu?
  10. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Majina ya watu ya Asili kama vile ya kikabila na ya kiswahili uenda yakatoweka

    Ulimbukeni ni tatizo kubwa kwa jamii ya waafrika. Nina watoto 4 majina yao ni 1. Baraka 2. Upendo 3. Maseko ( Mavuno) 4. Kisaka ( Dunia)
  11. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ya sasa ndio timu bora kuwahi kutokea wachambuzi wa mchongo wapuuzwe

    Hao machotara hamna kitu, kama yule mnoga ni jinga kabisa.
  12. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Njia ya kudhibiti kunguru wananirudisha nyuma

    Kenge ulifanyaje wananisumbua sana.
  13. Meja mstaafu

    JamiiForums Tanzania Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

    Hivi ule wenye beat ya les wanyika unaitwaje
  14. Meja mstaafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza (Mke)

    Sifa zangu 1. Mkristo( dhehebu A.I.C) 2. Nina miaka 30 3. Mwenyeji kanda ya ziwa. 4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo) 5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde. 6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu. SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI 1. Umri miaka 20-25 2. Dini...
Back
Top Bottom