Recent content by Mefloquine

  1. Mefloquine

    Jamaa kuamua kwenda kukaa na ndege kijiji kwake

    Mshapewa vitambulisho vya ujasirilia mali tulieni. Mnataka hata namba moja nae ale shida. Acheni hizo aisee.
  2. Mefloquine

    Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Aisee kuna panya alikula waya wa subwoofer yangu, nawasha haiwaki, kutikisa subwoofer yumo ndani tena ana watoto wanne, haaaa, nilichompatia yeye na familia yake ndio wanajua.
  3. Mefloquine

    Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Viashiria vya maisha kuwa magumu 1. Ukila hushibi, unadanganya tumbo kidogo tu 2. Usafiri wako wa kila siku haukufikishi hadi mlangoni, mfano unaishi ubungo unafanya kazi posta. Zamani ukishuka ubungo unachukua bodaboda hadi mlangoni, siku hizi unaukanyaga wa mguu hadi mlangoni 3. Gari yako...
  4. Mefloquine

    Huyu demu anataka kunifirisi kiwanda changu Nirudi Bush

    Ukisikia gundu ndio hilo, mmetongozana siku moja iliyopita tu, tayari 1. Birthday ishafika 2. Anataka akasuke 3. Anahoma anataka aende hospitali 4. Kodi ya nyumba imeisha 5. Gesi imekata 6. Atafukuzwa chuo kwakuwa hana ada 7. Hana hela ya kula 8. Mama yake mzazi ni mgonjwa sana 9. Simu yake...
  5. Mefloquine

    TAKUKURU wakamateni Mbowe, Godbless Lema na Msigwa

    Naiona ccm isiyo na mpinzani nje ya ccm bali ndani ya ccm patawaka moto 2020
  6. Mefloquine

    Vijana wa Hong Kong ni balaa

    Hii nchi siku ikitungwa sheria ya kuwafunga watu wenye umri zaidi ya miaka 18 na wakathibitika kuwa ni wajinga, hakika magereza yatajaa.
  7. Mefloquine

    Dadaz acheni kuwaua wapenzi wenu kwa kuwaita wezi

    Kwenye mahusiano huwa sinunulii mtu kitu cha kudumu, ni chakula, vocha, nauli basi. Hii mambo ya iphone, mkufu wa gold, kiwanja hapana aisee.
  8. Mefloquine

    Hivi leo waTanzania tukiamua kutumia bidhaa zinazozalishwa ndani tu kwa miaka mitano, hatutakuwa nchi ya dunia ya kwanza?

    Ingekuwa upo uwezekano wa kuagiza umeme kutoka ughaibuni, amini nakwambia kuna vigogo wasingekuwa wanatumia huu wa tanesco. Laiti kama ingekuwa kumlipa mfanyabiashara mmoja wakitanzania mihela yote kwa bidhaa au huduma anayozalisha, hakika leo hii tangu uhuru nchi nzima ingekuwa na umeme pamoja...
  9. Mefloquine

    Kuna jamaa no 0652224354 anajiita Patrick toka tigo usajiri wa laini yake ni Zena Mkumba

    Wengine hawa hapa Hongera umejishindia million tano[5,000,000], kwenye droo za. <DAKA NA TIGO PESA>. kamp no:15572 ya TOXXQF66GV. piga 0713677389 kupata pesa yako.
  10. Mefloquine

    Ndugai: Lishe duni ya wachezaji wetu imechangia Taifa Stars kufungwa

    Najiuliza Messi na John Bocco nani JITU
  11. Mefloquine

    Eti !! Kwanini Dada zetu hamuwezi dumu kwenye Mahusiano na mtu mwenye pesa??na mnadumu na sisi makapuku??

    Iko hivi, itokee mmependana, ikiwa tofauti, yaani mwanamke hajapenda, basi mwanaume utaombwa hela hadi ukimbie mwenyewe. Ama mwanaume ikiwa hajapenda, basi mwanamke atatumika hadi akimbie mwenyewe, hata nauli ya kuondokea hatokuwa akipewa. Lakini ikatokea mmependana, mwanamke hatoomba pesa na...
  12. Mefloquine

    Ukimuita Mwanamke kwa namna hii utampagawisha sana

    Kwani ukimuita babako mxng ni kweli anakuwa? Hebu anza kumuita basi
  13. Mefloquine

    Hivi uongo kwamba TISS hawastaafu kwanini unaaminiwa?

    Wanastaafu na kupokea mafao yao, na wanabugi kwenye matumizi kama kawa, na wanagongea bia wakichoka, utawasikia naweza kukuunga kule mimi. Unamchekiiiiii halafu unamwambia staafu kwa ufahari mzee.
  14. Mefloquine

    Sitorudia tena kumwambia mwanamke ntamuoa mapema mapema.

    Umeomba namba mwenyewe, ghetto umempeleka mwenyewe, ulimuelewa mwenyewe , leo hii kosa lake ni kukuelewa. Huna jema wewe.
Back
Top Bottom