braza sijui umekulia mazingira gani, ila mpaka mtu aje aoe au aolewe huko nyuma mara nyingi ni balaaa, angalia watu wanaoolewa mazingira ya nyumbani kwao au walipokulia ni wachache sana hapo kubwa ni kwamba wale wanaomzunguka wanajua kinachoendelea na huyo mtu ndo maana hawezi olewa pale ila...
utasubiri sana kumpata ambaye hajapigwa jana na juzi, wote wanapigwa tu mchukue mpe masharti ndo ataaacha kama muachaji labda usime usiambiwe ukweli ndo utamwamini swali la kizushi kwako unazani ni mwanake gani utamtaka wewe awe hana mtu labda miezi sita?
NADHANI inawezekana hapo baadae maana kuna siku nimeona taarifa ya habari watotowamepandikizwa vifaa vichwani kusaidia kusika nadhan vitakwa compturised vile
nimekaa miaka mitano huko nilkuwa nakwamishwa na mtaji tu aise ila ni biashara ya muda mfupi na inalipa na msimu umeanza kama unataka kuwekeza wahi sasa
unamuachiaje hela ya saloon wakati umerudi na 7000 toka kuponda kokoto huku umechoka mpaka mkia, kama ww mungu kakujalia kipato au ni juhudi zako sawa, haupo ndo na yy anapata muda wa hao mashoga wanomshawishi uta brock kwa style gani? mungu akikupa mke mwenye busara ume win, ila akikupa mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.