functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 794
- Thread starter
- #41
pesa ipo, ila kulipa limtu ambalo halijafanya kazi yeyote hapana,
Wacha utoswe tu, kwa sababu hakuna namna. Kwa kulilia huku nano atakuvumilia? Any way wewe ni dar au mkoani?Hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamini huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa mimi siwezi mizinga isiokuwa na maana.
Dar cityWacha utoswe tu, kwa sababu hakuna namna. Kwa kulilia huku nano atakuvumilia? Any way wewe ni dar au mkoani?
Ndio sababu, pole sanaDar city
kama buku 3 ndio umeanzisha thread nashauri moderator akufutie usajili humu huna maana yoyoteHivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamini huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa mimi siwezi mizinga isiokuwa na maana.


hali tetesasa jamani buku 3 ndio inakuongelesha namna hii.. angekuomba hata buku kumi si ingekua balaa😀 wanaume wa Dar banahHivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamini huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa mimi siwezi mizinga isiokuwa na maana.
Hapana mkuu, siwez kutoa pesa wakati mzigo sijauona
Kakukataa kisa 3000 ndio mana mimi nilivyo mzalisha nikakataa kumuoa kwa tamaa zakeHivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamini huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni ungwana kweli ? hapa mimi siwezi mizinga isiokuwa na maana.