Bora wapinzani tunajua hawaaminiani na hilo tunaliona wazi, sasa ccm mkiwa chemba mnataka serikali tatu but kwenye media mnataka serikali mbili sasa tutawaelewa vipi? Hapo kuna kuaminiana kweli? Hivi kaka serikali ya tanganyika iko wapi? Katiba yake iko wapi? Na mamlaka yake ndani ya muungano ni...
Iweje zanzibar iwe huru, iwe na bendera, jeshi,? Polisi nk, halafu sisi watanganyika hatuna hayo yote? Yaani tuko tu kwa mgongo wa muungano? Nasema hivi hatutaki muungano.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Hahahahahhahahah😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Ka🚿
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Me ni mmasai lakini huyu mzee nahisi hakutahiriwa kimasai, yaani wenzake wanajenga hoja yeye analilia kura ya wazi? Mbwa mkubwa tena mbwa koko.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.