Recent content by Meco_thom

  1. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Pamoja na pongezi; Maombi kwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM na timu yako

    Ni ushauri mzuri!
  2. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CCM Ruvuma wacheza ngoma kumpongeza Magufuli!

    Utakuta kunawajiitao wasomi ambao tunategemea kujenga nchi noa WAMO[emoji37]
  3. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Magufuli ayathibitisha tuhuma za Mnyika.

    Hawakuwaelrwa wapinzani na hata baada ya tamko la mkulu bada hajawaelewa wapinzani, mikataba kupelekwa bungeni ndo kilio cha wapinzani.
  4. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

    Isipo kuwa PGM nadhani haijawahi kutoa TO, na geography ndo sababu kubwa so aliye kuambia geog n rahisi sawa lakini A za Physics n nyingi na rahisi kuzipata pamoja na Math, lakini A za geog ni chache sana pamoja na urahisi unao zungumzwa, kikubwa kapige shule PGM ipo poa tu!
  5. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu combi ya PGM

    Hao walimu wako hawana sababu za msingi, mimi nilisoma hiyo PGM hapo ifunda unapotarajia kwenda now am a Computer Engineer, kapige shule ya PGM!
  6. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Habari za asubuhi waungwana kisia huu ni mti gani?

    Mkrispitus
  7. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Rais anataka kuwahadaa wafanyakazi

    Nadhani CWT ni lazima lakini vyama vingine siyo lazima, mimi siyo mwalimu lakini ninavyo jua asilimia kubwa ya wafanyakazi ni walimu na kila mwalimu lazima achangie kwamaana hiyo CWT haikupaswa kuwa ilivyo wananufaika wachache tu.
  8. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema Uingereza ikiichokoza, itaifuta kutoka uso wa dunia!

    Sisi tutajikinga na matofali yetu kichwani
  9. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    Utasikia yule mshereheshaji anasema "kwa mtu yeyote anaye taka kuleta fujo ajue tupo vzuri" so wanajpanga kwa wapinzani tu
  10. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [#FF0000]like [/#FF0000]
  11. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [#FF0000]like [#FF0000]
  12. Meco_thom

    JamiiForums Tanzania Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania

    Hayakosi dah sijui tumelogwa
Back
Top Bottom