Wanachama wa CCM Ruvuma wacheza ngoma kumpongeza Magufuli!

hivi kwa nn nimezaliwa Tanzania!
Umezaliwa tanzania huwezi kukwepa. Wanacheza ngoma. Wanawake wanavaa hijab wenginewanalala barabarani Nape apite. Ndiyo Watanzania wengi walivyo. Kuna watanzanua wengie huchoma nywele na kuvaa hereni za dhahabu miguuni. Hawana utu, hela ndiyo mungu wao. Ukiwa naye jirani atakuibia na kama ni shambani atasogeza mpaka na mkiwa na ubia kwenye biashara atakuibia akishindwa anakuua. Wana ukabila sana kama ambavyo majizi hushikamana. Hawa nao ni Watanzania lakini siyo wengi ndiyo maana kura zao hazitoshi. Kwa nini usihamie Kenya huko ndiko ukabila hutukuzwa na kila mtu?
 
magufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
 
Halafu eti wanaandamana kwa kucheza mbeleko na kubinua maklio anapiga vita ufisadi, ...
 
Halafu eti wanaandamana kwa kucheza mbeleko na kubinua maklio anapiga vita ufisadi, ...
Hao kw auzwazwa huo ndo wanafanya tz iendelee kuwa masikini kwa kucheza midundo uya maigizo ya ccm miaka 50 sasa
 
Mkoani Ruvuma wanachama wa ccm wamejitokeza na kucheza ngoma, huku wanaume wa mkoani humo wakipiga push up na akina Mama kujigalagaza kwenye vumbi kwa kile walichodai ni kumpongeza Magufuli.

Tukio hilo lililopambwa na makada wa chama hicho kuvaa mavazi ya kijani na njano a.k.a yeboboyebo, wakina mama wakiwa wamevalia matisheti na kanga za msaada za rangi hizo, lilisindikizwa na akina baba waliovalia makofia ya kijani na matisheti ya kijani pamoja na suruali nyeusi lakini zikionekana zimechakaa sana ama kwa kuvaliwa kwa muda mrefu, au zikiwa pengine zimeokotwa kwenye madampo!

Wanachama hao ambao kwa wingi wao walivyoonekana wamekuwa kwa muda mrefu wakiandamwa na matatizo mbalimbali, kubwa likiwa ukosefu wa elimu (yaani ujinga), mengine ni barabara mbovu, kukosekana kwa maji safi, umaskini, huduma mbovu za afya n.k walikuwa wakisifia juhudi za magufulk za kupambana na ufisadi lakini huku wao wakiwa hajui ni jinsi gani matatizo yao tatakavyotatuliwa!

Lakini kimsingi haya waliyokuwa wakifanya ina maana siyo siasa zile Magufuli alizokataa mpaka 2020?

Kwani siasa za hadharani ni mpaka iwe mikutano ya hadhara, hizi ni double standard!

Iweje haya maandamano ya kisiasa sijui ya kusifia yaruhusiwe...
Utakuta kunawajiitao wasomi ambao tunategemea kujenga nchi noa WAMO
 
Ruvuma inatia aibu sana. Mkoa uko nyuma kimaendeleo bado wanalishabikia lichama la mazwazwa wa lumumba. Wamepitwa mpaka na Lindi.
Bora hata wagogo wana sababu ya kushabikia ccm; lakini sio hawa wa nyumbi bombi.
 
Ndio huko kwa huyu zwazwa la lumumba lzbon, yaani kumechoka hatari!
Kibanda cha m pesa tu kukipata ni zaidi ya mail 80...
 
Back
Top Bottom